Simba SC yaijia juu TFF
Uongozi wa Simba umelishukia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kulitaka liwarudishie fedha Sh25 milioni ambazo walikatwa kama gharama ya uharibifu wa viti kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar uliochezwa Oktoba 31 mwaka jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi12 Sep
CUF yaijia juu tume
10 years ago
Habarileo26 Mar
TAJA yaijia juu MCT, washirika wake
CHAMA cha Waandishi wa Habari Tanzania (TAJA) kimeshutumu kile kilichodai ni mlolongo usiokwisha wa kukwamisha jitihada za serikali, zinazolenga kuendeleza tasnia ya habari, ikiwamo kutoa uhuru wa habari.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-BfggQF4VMfc/XqvYngmvlTI/AAAAAAALovg/Hx-5YnxfrcUwYLB_H3cM9okNGaOELWC0QCLcBGAsYHQ/s72-c/qw.jpg)
SERIKALI YAIJIA JUU NTV KENYA KWA KUPOTOSHA TAARIFA ZA CORONA NCHINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-BfggQF4VMfc/XqvYngmvlTI/AAAAAAALovg/Hx-5YnxfrcUwYLB_H3cM9okNGaOELWC0QCLcBGAsYHQ/s400/qw.jpg)
Charles James, Michuzi TV
KATIBU MKUU Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abbas amekijia juu chombo cha habari cha NTV kwa kutoa taarifa alizoziita za uzushi kuhusiana na maendeleo ya ugonjwa wa Corona nchini.
Kupitia akaunti yao ya Twitter NTV waliweka taarifa inayosema idadi ya watu wanaokufa kwa ugonjwa wa Corona jijini Dar es Salaam kwa siku ni 50 jambo ambalo Dk Abbas amelikanusha akisema ni uongo.
" Watu 50 wanakufa kwa siku...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-g55acd_ZP6o/VZmBbwFzBmI/AAAAAAAHnLI/O96jVgF3zCo/s72-c/kk.png)
Klabu ya Kimondo Super Sports yaijia juu yanga kwa usajili wa mchezaji wake Geofrey Bahati Mwashiuya
![](http://2.bp.blogspot.com/-g55acd_ZP6o/VZmBbwFzBmI/AAAAAAAHnLI/O96jVgF3zCo/s400/kk.png)
Klabu inasikitishwa saana na habari/taarifa zenye mkanganyiko zinazotolewa na msemaji wa timu ya Yanga,Katibu wa timu ya Yanga na mchezaji wetu Geofrey Mwashiuya katika vyombo mbalimbali vya habari;Jerry Muro alisikika katika vyombo vya habari akijinadi...
10 years ago
Mwananchi30 Sep
TFF yataka cha juu
10 years ago
Mtanzania12 Jun
Simba yakiuka agizo la TFF
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa Klabu ya Simba umekiuka agizo la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuwataka wafanye mazungumzo mapya na mchezaji wao, Ramadhani Singano ‘Messi’, kwa madai kuwa amekwenda kinyume cha makubaliano yao kwa kutoa siri juu ya kilichozungumzwa kwenye kikao hicho.
Maamuzi hayo ya Simba yalitolewa jana kufuatia kikao cha Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo, kilichokaa juzi kujadili masuala mbalimbali ya klabu hiyo, ikiwemo sakata la mchezaji wao huyo.
TFF...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TQDVHBx0tuWGt8UPx4yp65pF*x3ZoLrlSVnpPFPqv1NZJ9DuIBtKMuQmIpFN3Gx49BmFgYQxSlcHu1zQZoe4SjHiR7tC4DKc/tff.jpg)
TFF yamfungia beki Simba
11 years ago
Mwananchi30 Dec
TFF yamtambua Rage Simba