Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Klabu ya Kimondo Super Sports yaijia juu yanga kwa usajili wa mchezaji wake Geofrey Bahati Mwashiuya

Klabu ya Kimondo Super Sports inayoshiriki ligi daraja la kwanza Tanzania yenye maskani yake wilayani Mbozi mkoani Mbeya inapenda kutoa tamko juu ya mkanganganyiko wa taarifa za kuptosha za usajili wa mchezaji wake Geofrey Bahati Mwashiuya.


Klabu inasikitishwa saana na habari/taarifa zenye mkanganyiko zinazotolewa na msemaji wa timu ya Yanga,Katibu wa timu ya Yanga na mchezaji wetu Geofrey Mwashiuya katika vyombo mbalimbali vya habari;

Jerry Muro alisikika katika vyombo vya habari akijinadi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Kimondo: Mwashiuya sasa ruksa Yanga.

Katibu Mkuu wa Yanga, Jonas Tiboroha.
Mshambuliaji Geofrey Mwashiuya ambaye alikuwa akidaiwa kujiunga na Yanga kinyemela, sasa ni mchezaji halali wa kikosi hicho kinachonolewa na Mholanzi Has van der Pluijm baada ya klabu hiyo ya Mtaa wa Twiga na Jangwani jijini Dar es Salaam kumalizana kimya kimya na Kimondo FC.

Klabu ya Yanga na Kimondo FC zilikutana jana jijini Mbeya kwa ajili ya kutafuta muafaka na inaelezwa kuwa kikao hicho kilichukua zaidi ya saa sita kulimaliza sakata hilo.

Akizungumza...

 

10 years ago

Habarileo

TAJA yaijia juu MCT, washirika wake

CHAMA cha Waandishi wa Habari Tanzania (TAJA) kimeshutumu kile kilichodai ni mlolongo usiokwisha wa kukwamisha jitihada za serikali, zinazolenga kuendeleza tasnia ya habari, ikiwamo kutoa uhuru wa habari.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAIJIA JUU NTV KENYA KWA KUPOTOSHA TAARIFA ZA CORONA NCHINI


Charles James, Michuzi TV

KATIBU MKUU Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abbas amekijia juu chombo cha habari cha NTV kwa kutoa taarifa alizoziita za uzushi  kuhusiana na maendeleo ya ugonjwa wa Corona nchini.

Kupitia akaunti yao ya Twitter NTV waliweka taarifa inayosema idadi ya watu wanaokufa kwa ugonjwa wa Corona jijini Dar es Salaam kwa siku ni 50 jambo ambalo Dk Abbas amelikanusha akisema ni uongo.

" Watu 50 wanakufa kwa siku...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yaufyata kwa Kimondo

Waswahili wanasema kubali yaishe. Hicho ndicho kilichotokea baada ya mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga ‘kuiangukia’ Kimondo FC ili kumaliza mgogoro wa usajili wa mshambuliaji Geofrey Mwashiuya.

 

11 years ago

Mwananchi

Simba SC yaijia juu TFF

Uongozi wa Simba umelishukia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kulitaka liwarudishie fedha Sh25 milioni ambazo walikatwa kama gharama ya uharibifu wa viti kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar uliochezwa Oktoba 31 mwaka jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

CUF yaijia juu tume

Chama cha Wananchi (CUF) kimesema Serikali ya Umoja wa Kitaifa inaweza kutetereka kama Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) itaendelea kufanya kazi ya kuisaidia CCM kufikia malengo ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu mwakani.

 

5 years ago

BBCSwahili

Zaidi ya klabu 100 ambazo hazipo kwenye ligi zaiandikia FA juu ya kuahirishwa kwa msimu

Zaidi ya klabu 100 ambazo hazipo kwenye ligi zatuma barua kwa FA, na kutoa wito wa kutaka ifikirie tena umauzi wake wa kuahirisha msimu

 

10 years ago

Vijimambo

NSSF yaanza rasmi usajili wa vijana Sports academy


Badhi ya wazazi wakiwasimamia watoto wao katika zoezi la kujaza fomu kwa ajili ya kujiunga na kituo kipya cha michezo cha NSSF-Real Madrid Academy. SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwa kushirikiana na Klabu ya Real Madrid ya Hispania, limezindua mchakato wa usajili wa vijana walio chini ya umri wa miaka 14, watakaochujwa kusaka nafasi ya kujiunga na NSSF–Real Madrid Sports Academy.
Mchakato huo wa usajili umefanyika leo kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Ilala jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani