Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI YAIJIA JUU NTV KENYA KWA KUPOTOSHA TAARIFA ZA CORONA NCHINI


Charles James, Michuzi TV

KATIBU MKUU Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abbas amekijia juu chombo cha habari cha NTV kwa kutoa taarifa alizoziita za uzushi  kuhusiana na maendeleo ya ugonjwa wa Corona nchini.

Kupitia akaunti yao ya Twitter NTV waliweka taarifa inayosema idadi ya watu wanaokufa kwa ugonjwa wa Corona jijini Dar es Salaam kwa siku ni 50 jambo ambalo Dk Abbas amelikanusha akisema ni uongo.

" Watu 50 wanakufa kwa siku...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Muziki genge nchini Kenya unapata umaarufu kulaumiwa kupotosha vijana

Muziki wa genge nchini Kenya unaopendwa na vijana hasa kwa sauti zake zinazosikika nyakati za sherehe ni utamaduni unaopata umaarufu licha ya kukosolewa.

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI YATAJA SABABU ZA KUCHELEWA KUTOA TAARIFA ZA MWENENDO WA UGONJWA WA CORONA NCHINI

  Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema sababu ya kutotangaza mwenendo wa ugonjwa wa Corona ni kutokana na maboresho yanayofanyika kwenye Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, ambapo kuna marekebisho yanafanyika na ndani ya siku chache marekebisho yatakamilika na watatoa taarifa.
Aidha Waziri Ummy amesisitiza kuwa vifo vinavyotokana na Corona vipo na kesi za maambukizi zipo, hivyo wananchi wanatakiwa waendelee kuchukua tahadhari ili kuepuka kuambukizwa huku akiwataka kufuata taarifa sahihi na...

 

10 years ago

Michuzi

Klabu ya Kimondo Super Sports yaijia juu yanga kwa usajili wa mchezaji wake Geofrey Bahati Mwashiuya

Klabu ya Kimondo Super Sports inayoshiriki ligi daraja la kwanza Tanzania yenye maskani yake wilayani Mbozi mkoani Mbeya inapenda kutoa tamko juu ya mkanganganyiko wa taarifa za kuptosha za usajili wa mchezaji wake Geofrey Bahati Mwashiuya.


Klabu inasikitishwa saana na habari/taarifa zenye mkanganyiko zinazotolewa na msemaji wa timu ya Yanga,Katibu wa timu ya Yanga na mchezaji wetu Geofrey Mwashiuya katika vyombo mbalimbali vya habari;

Jerry Muro alisikika katika vyombo vya habari akijinadi...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Maswali yaibuka juu ya uwazi wa taarifa za corona Tanzania

Maambukizi ya virusi vya corona yafikia 480 nchini Tanzania.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI NA WADAU WAJA NA ELIMU JUU YA CORONA KWA WATOTO

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara Kuu
ya Maendeleo ya Jamii) kwa kushirikiana na Mtandao wa Malezi, Makuzi
na Maendeleo ya Watoto Wadogo Tanzania (TECDEN), Taasisi ya Chakula na
Lishe, Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Watoto (UNICEF)
wameandaa mkakati wa kufikisha ujumbe kwa watoto kuhusu kujikinga na
maambukizi ya Virusi vya Corona.
Akizungumza leo katika kikao kazi kilichowakutanisha wadau hao jijini
Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa...

 

10 years ago

Mwananchi

CUF yaijia juu tume

Chama cha Wananchi (CUF) kimesema Serikali ya Umoja wa Kitaifa inaweza kutetereka kama Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) itaendelea kufanya kazi ya kuisaidia CCM kufikia malengo ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu mwakani.

 

11 years ago

Mwananchi

Simba SC yaijia juu TFF

Uongozi wa Simba umelishukia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kulitaka liwarudishie fedha Sh25 milioni ambazo walikatwa kama gharama ya uharibifu wa viti kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar uliochezwa Oktoba 31 mwaka jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

TAJA yaijia juu MCT, washirika wake

CHAMA cha Waandishi wa Habari Tanzania (TAJA) kimeshutumu kile kilichodai ni mlolongo usiokwisha wa kukwamisha jitihada za serikali, zinazolenga kuendeleza tasnia ya habari, ikiwamo kutoa uhuru wa habari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani