Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muziki genge nchini Kenya unapata umaarufu kulaumiwa kupotosha vijana

Muziki wa genge nchini Kenya unaopendwa na vijana hasa kwa sauti zake zinazosikika nyakati za sherehe ni utamaduni unaopata umaarufu licha ya kukosolewa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAIJIA JUU NTV KENYA KWA KUPOTOSHA TAARIFA ZA CORONA NCHINI


Charles James, Michuzi TV

KATIBU MKUU Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abbas amekijia juu chombo cha habari cha NTV kwa kutoa taarifa alizoziita za uzushi  kuhusiana na maendeleo ya ugonjwa wa Corona nchini.

Kupitia akaunti yao ya Twitter NTV waliweka taarifa inayosema idadi ya watu wanaokufa kwa ugonjwa wa Corona jijini Dar es Salaam kwa siku ni 50 jambo ambalo Dk Abbas amelikanusha akisema ni uongo.

" Watu 50 wanakufa kwa siku...

 

9 years ago

Bongo5

Kama unapata hela huna budi kuwekeza kwenye muziki wako – Master J

MasterJ

Mtayarishaji mkongwe wa muziki na mwanzilishi wa MJ Records, Master J, amesema muziki wa Tanzania ulipofika ni wakati wa wasanii kujitambua na kwendana na wakati kuanzia kazi zao hadi muonekano kwa watu.

MasterJ

Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio wiki iliyopita, Master J alisema ni vizuri msanii awe na timu itakayomsaidia kuboresha muziki wake.

“Unajua kama msanii ukishafika level fulani kwenye jamii au soko lolote, kwenye macho ya watu umekuwa kama brand tuseme,...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana nchini watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Dunia

Na Frank Shija, WHVUM
Vijana watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani ambayo kitaifa yatafanyika tarehe 12 Agosti jijini Dar es Salaam huku kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni “Ushiriki wa Vijana katika masuala ya Kiraia”
Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam.
Bibi Sihaba amesema kuwa maadhimisho hayo yamekuwa yakifanyika kila mwaka...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana nchini watakiwa kuzingatia vigezo ili kunufaika na Mikopo ya Mfuko wa Maendeleo ya Vijana (YDF)

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Concilia Niyibitanga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana leo jijini Dar es Salaam.Kuliani Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana Dkt. Steven Kissui na kushoto ni Afisa Habari wa Idara ya Habari MAELEZO Bw. Frank Mvungi. Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana Dkt. Steven Kissui akionyesha Kitabu cha Sera ya Maendeleo ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Vijana waingilia muziki TZ kukimu maisha

Muziki nchini Tanzania umekuwa kimbilio la vijana wengi ikiwa ni moja ya njia za kujikwamua dhidi ya umaskini

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Makaidi: Wa kulaumiwa ni JK

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Dk. Emmanuel Makaidi, amesema uteuzi wa mke wake kuwa mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba siyo kosa la chama chake cha NLB, bali ni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tamasha la Muziki Kenya

Maelfu ya wanafunzi hukusanyika kuonesha vipaji vyao katika sanaa za utamaduni.

 

11 years ago

GPL

WARSHA YA KUJENGA UWEZO WA MUZIKI NA SARAKASI KWA WATOTO NA VIJANA YATOLEWA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Baba Watoto Center kilichopo Mburahati kwa Jongo, Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, Bw. Mgunga Mwamnyenyelwa  akizungumzia juu ya kituo hicho kinavyofanya kazi na sababu za kuwakusanya watoto hao katika kituo hicho ikiwa ni pamoja na kuwajengea uelewa zaidi na kuwafundisha vitu mbalimbali kama Ngoma, Sarakasi, Ushonaji ili baadae waweze kuja kujitegemea wenyewe.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani