Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijana waingilia muziki TZ kukimu maisha

Muziki nchini Tanzania umekuwa kimbilio la vijana wengi ikiwa ni moja ya njia za kujikwamua dhidi ya umaskini

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

6 legends; 6 stars; 1 spotlight: Maisha Magic kuja na shindano la muziki ‘Maisha Supastar’

Kituo cha televisheni cha Maisha Magic cha DSTV, kinatarajia kuja na shindano kubwa la kusaka vipaji vya muziki Afrika Mashariki, ‘Maisha Superstar’. “This will be the revolutionary Talent Search Show East Africa has ever had. For the first time viewers will experience the real science behind making a platinum selling music act,” wameandika kwenye website […]

 

10 years ago

GPL

RECHO: MAISHA NJE YA MUZIKI

UNAPOZUN-GUMZIA kati ya wanamuziki wa kike wenye sauti ya aina yake wanaofanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva lazima utamtaja msanii kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Winfrida Josephat ‘Recho Mapenzi’. Msanii kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Winfrida Josephat ‘Recho Mapenzi’. Recho anakubalika zaidi kupitia nyimbo zake kama vile Upepo, Kizunguzungu na nyingine nyingi.
Hivi karibuni...

 

5 years ago

Mwananchi

Jesca BM: Muziki ndio maisha yangu

Kati ya waimbaji nyota wa muziki wa injili wanaokuja kwa kasi hapa nchini hivi sasa, Jesca Honore maarufu kwa jina la Jesca BM ni miongoni mwao.

 

9 years ago

Bongo5

MB Dog kuja na documentary ya maisha yake ya muziki

MB Dog amesema anajipanga kuachia documendary itakayokuwa inazungumzia maisha yake ya muziki. Muimbaji huyo aliyewahi kuhit na ngoma kama ‘Latifa’ na ‘Si Uliniambia’ amesema ameamua kuachia documentary hiyo baada ya kuona mashabiki wanahitaji. “Awali kidogo Desso alifanya kama movie yake fulani hivi kwahiyo alifanya kama kunishirikisha ‘bwana njoo unipe support’, sasa kile kitu kikawa kimeniletea […]

 

10 years ago

GPL

SHETTA: MUZIKI UMEFANYA MAISHA YANGU KUWA MEPESI

MSANII wa Bongo Fleva, Nurdin Bilali, ‘Shetta’ amefunguka kuwa kupitia sanaa ya muziki anayoifanya amepata vitu vingi vilivyofanya maisha yake kuwa rahisi. Shetta anayetamba na kibao cha Kerewa alichomshirikisha staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amefunguka hayo wakati akihojiwa katika kipindi cha Mtu Kati cha Global TV Online. ...

 

10 years ago

Bongo5

Nick wa Pili: Maisha uyaonayo kwenye tamthilia au video za muziki ni feki yasikupe stress

Rapper wa kundi la Weusi, Nick wa Pili amewaasa vijana kuacha kuiga maisha ya mastaa mbalimbali wanayoyaona kwenye TV au mitandao ya kijamii kwakuwa si ya kweli na yanapotosha. Kupitia ukurusa wake wa Instagram, Nick ameandika: Maisha sasa yametawaliwa na, taarifa potofu ambazo zina aribu, mapenzi, familia , na maadili….taarifa nyingi zinatoka kwa media…(magazeti, tv, […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vijana wawe na uthubutu katika maisha

TUNAISHI katika ulimwengu uliojaa changamoto katika kila nyanja ya maisha. Iwe kijamii, kiuchumi na kisiasa. Changamoto za maisha zinaweza kugeuka na kuwa kikwazo cha mafanikio ya kijana pale anapoziogopa badala...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani