SHETTA: MUZIKI UMEFANYA MAISHA YANGU KUWA MEPESI
MSANII wa Bongo Fleva, Nurdin Bilali, ‘Shetta’ amefunguka kuwa kupitia sanaa ya muziki anayoifanya amepata vitu vingi vilivyofanya maisha yake kuwa rahisi. Shetta anayetamba na kibao cha Kerewa alichomshirikisha staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amefunguka hayo wakati akihojiwa katika kipindi cha Mtu Kati cha Global TV Online. ...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
Mwananchi27 Feb
Jesca BM: Muziki ndio maisha yangu
9 years ago
Bongo529 Dec
Mwana FA: Sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote (Video)
![12292738_1516860355279681_1179389451_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12292738_1516860355279681_1179389451_n-300x194.jpg)
Pengine hukuwa unalijua hili. Mwana FA hajawahi kuishi na baba yake katika maisha yake yote.
FA ametuambia hilo baada ya kumuuliza tofauti ya malezi aliyoyapata kutoka kwa baba yake na yale anayompa mwanae wa kike, Malikah.
“Mimi sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote,” anasema.
“Nimekuwa naruka ruka sana, mara nakaa kwa shangazi yangu, mara nakaa kwa babu yangu, kwa bibi yangu ndiyo kwetu ilikuwa, kwa shangazi yangu mwingine hivyo,” ameongeza.
“Experience niliyokuwa naiona ni kwa...
10 years ago
Bongo515 Nov
6 legends; 6 stars; 1 spotlight: Maisha Magic kuja na shindano la muziki ‘Maisha Supastar’
10 years ago
CloudsFM06 Nov
SHETTA AKANUSHA KUWA NA BIFU NA ALLY KIBA
Mkali wa ngoma ya ‘’Kerewa’’,Sheta amekanusha habari zilizozagaa mtandaoni kuwa hawezi kufanya kolabo na msanii mwenzake wa Bongo Fleva,Ally Kiba.
‘’Sina bifu na Ally Kiba,nilichosema ni kwamba sina mpango wa kufanya kolabo na msanii yoyote hapa Bongo kwa sasa,’’alisema Shetta.
9 years ago
Bongo524 Nov
Rose Ndauka ajibu tetesi za kuwa na uhusiano na Shetta
![11208267_1018831591463131_2026634416_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11208267_1018831591463131_2026634416_n-300x194.jpg)
Baada ya kuenea tetesi kuwa mke wa Shetta ‘Neila Yusuf’ anadai talaka kwa mume wake kutokana na Rose Ndauka kuingilia ndoa yao, Ndauka amevunja ukimya.
Akiongea kwenye kipindi cha Mkasi, Ndauka alikanusha kuwahi kuwa na uhusiano na rapper huyo.
“Kuna siku nilikuwa kwa Diamond, Mama Kayla alikuwepo, kwahiyo akawa amenifuata kunisalimia, Dareen akawa ananiambia umemuona ‘mama Kayla?’ Nikamwambia yupo wapi? akaniambia ndio huyu hapa! Nikawa nacheka nikamwambia ‘mambo’, nikamwambia nasikia...
11 years ago
CloudsFM23 Jun
NAY WA MITEGO:MAFANIKIO YANGU YAMETOKANA NA MUZIKI
Kati ya wasanii wakubwa hapa Bongo waliopata mafanikio makubwa kupitia muziki ni Emmanuel Elibarik a.k.a Ney Wa Mitego,muziki wake umempa shoo nyingi na dili za matangazo ambazo hulipa vizuri wasanii.
Hivi karibuni msanii huyo kupitia mtandao wake wa instagram alipost picha ya nyumba yake mpya iliyopo maeneo ya Kimara Korogwe ,kwa mujibu wake alikaririwa akisema nyumba hiyo ina thamani ya shs milioni mia na themanini.
Ney wa mitego alisema alianza kujenga nyumba hii toka mwaka jana na ni...
10 years ago
GPLKAJALA: NIACHENI NA MAISHA YANGU
5 years ago
BBCSwahili24 Feb
Niger: 'Maisha yangu ya kutokuwa na mtoto'
10 years ago
Raia Tanzania16 Jul
‘Kura yangu imeokoa maisha ya mtoto’
“Kura yangu moja ya kumchagua Mbunge imesaidia kuokoa maisha ya mtoto wangu niliyekuwa nimemkatia tamaa kutokana na uwezo wangu duni kifedha.”
Hii ni kauli iliyotolewa na mama mmoja aitwaye Rose Anton, Mkazi wa Nsemulwa mjini Mpanda ambaye mwanaye, Lilian Gerald mwenye umri wa miaka 2.5 aligunduliwa kuwa na tatizo la ugonjwa wa moyo.
Katika mahojiano na gazeti hili wiki iliyopita, mama huyo alimshukuru aliyekuwa Mbunge wa Mpanda Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...