Chill na Sky: Lady Jaydee azungumzia maisha utotoni, alivyoanza muziki n...
![](http://img.youtube.com/vi/nJyzVxp3OEs/default.jpg)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo523 Nov
Chill na Sky: Naj azungumzia alivyoanza muziki, kufanya audition ya Harry Porter, uhusiano wake na Mr Blue nk (Audio)
![12070616_1731677777055440_798838554_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12070616_1731677777055440_798838554_n-300x194.jpg)
Wiki hii kwenye Chill na Sky, Fredrick ‘Skywalker’ amepiga story na Naj aliyeachia video yake ya ‘No Going Home’ mwishoni mwa wiki iliyopita. Kwenye kipindi hiki Naj amezungumzia historia yake, alivyoanza muziki, alivyoshiriki kwenye audition za filamu ya Harry Porter, uhusiano wake na Mr Blue na mambo mengi.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali...
9 years ago
Bongo520 Dec
Audio: Chill na Sky – With Ernest Napoleon (Going Bongo)
![10575965_514928895331026_2072635263_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/10575965_514928895331026_2072635263_n-300x194.jpg)
Sikiliza kipindi cha Chill na Sky kikiwa na muigizaji wa filamu ya Going Bongo, Ernest Napoleon.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo503 Nov
Audio: Sikiliza kipindi cha Chill na Sky kikiwa na Belle 9
![11899652_1643124802633842_393297353_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11899652_1643124802633842_393297353_n-94x94.jpg)
9 years ago
Bongo520 Oct
Audio: Sikiliza kipindi cha Chill na Sky kikiwa na Neylee
Wiki hii kwenye Chill na Sky mgeni ni Neylee. Sikiliza kipindi hicho hapo chini. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo513 Oct
Audio: Sikiliza kipindi cha Chill na Sky kikiwa na Izzo Bizness
Wiki hii kwenye Chill na Sky, Izzo Bizness anatueleza historia yake ya muziki hadi alipo sasa. Sikiliza kipindi hapo chini. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo506 Oct
Audio: Sikiliza kipindi cha Chill na Sky wiki hii kikiwa na Young Killer
Kwenye Chill na Sky wiki hii, Sky amepiga story na rapper Young Killer. Kuna mengi mchizi kayaongea kuhusiana na safari yake muziki, maisha baada ya kuhamia Dar, mafanikio aliyoyapata hadi sasa, uhusiano wake na mpenzi wake Halimaty Adam aka Miss Hip Hop, na issue zingine kibao. CHILL NA SKY INASIKIKA PIA KUPITIA: ABM Radio (Dodoma) […]
9 years ago
Bongo529 Sep
Audio: Sikiliza kipindi cha Chill na Sky ambapo Avril wa Kenya ameelezea safari yake kimuziki
Wiki kwenye Chill na Sky, Sky amepiga story na muimbaji wa Kenya, Avril. Wamepiga story kibao kuanzia jinsi alivyoanza kufanya kazi na Ogopa Djs, kukutanishwa na AY na jinsi alivyomtambulisha kwenye industry ya Afrika Mashariki, mambo yake binafsi na uhusiano wake. Utaenjoy sana. CHILL NA SKY INASIKIKA PIA KUPITIA: ABM Radio (Dodoma) – Jumanne Saa […]
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-7QPs5KjijR8/VWSJdQxwhGI/AAAAAAAAuco/1Vn-4TUVI-I/s72-c/k-linn.jpg)
K-Lynn azungumzia maisha yake kama mama, kwanini hawezi kurudi kwenye muziki na kazi ya interior design
![](http://1.bp.blogspot.com/-7QPs5KjijR8/VWSJdQxwhGI/AAAAAAAAuco/1Vn-4TUVI-I/s640/k-linn.jpg)
Ni nadra sana kukutana na Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi maarufu kama K-Lynn lakini kupitia tuzo za watu tulifanikiwa kupiga story mbili tatu.
K-Lynn ameiambia Bongo5 kuwa maisha akiwa kama mama watoto wawili mapacha yamekuwa ya aina yake na anayafurahia kila sekunde.“Nimejifunza kuwa mvumilivu, nimejifunza upendo ambao sijawahi kujisikia kabla. Jinsi unavyompenda mtoto ni tofauti ambavyo unaweza kumpenda mtu yoyote yule katika maisha yako,” alisema.
Katika hatua nyingine Miss Tanzania huyo wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKtoru51-3*wTKvOI2nMYKOVO5H16wt3uo5SNkCtApx68EEDmzfoR1r77YrlM5Rc8J04-VTl390qLAvmIoojRRtog/JIDE.jpg)
NDINGA MPYA YA LADY JAYDEE
Mwanamuziki Judith Daines Wambura Mbibo 'Lady Jaydee' akiwa katika pozi na mkoko wake mpya aina ya Range Rover Evogue.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania