Audio: Sikiliza kipindi cha Chill na Sky kikiwa na Belle 9
Kwenye kipindi cha Chill na Sky wiki hii, Fredrick ‘Skywalker’ Bundala, amechill na muimbaji wa R&B, Belle 9 kuzungumza mambo kibao. Sikiliza kipindi hicho hapo chini. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo520 Oct
Audio: Sikiliza kipindi cha Chill na Sky kikiwa na Neylee
9 years ago
Bongo513 Oct
Audio: Sikiliza kipindi cha Chill na Sky kikiwa na Izzo Bizness
9 years ago
Bongo506 Oct
Audio: Sikiliza kipindi cha Chill na Sky wiki hii kikiwa na Young Killer
9 years ago
Bongo529 Sep
Audio: Sikiliza kipindi cha Chill na Sky ambapo Avril wa Kenya ameelezea safari yake kimuziki
9 years ago
Bongo520 Dec
Audio: Chill na Sky – With Ernest Napoleon (Going Bongo)
![10575965_514928895331026_2072635263_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/10575965_514928895331026_2072635263_n-300x194.jpg)
Sikiliza kipindi cha Chill na Sky kikiwa na muigizaji wa filamu ya Going Bongo, Ernest Napoleon.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo523 Nov
Chill na Sky: Naj azungumzia alivyoanza muziki, kufanya audition ya Harry Porter, uhusiano wake na Mr Blue nk (Audio)
![12070616_1731677777055440_798838554_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12070616_1731677777055440_798838554_n-300x194.jpg)
Wiki hii kwenye Chill na Sky, Fredrick ‘Skywalker’ amepiga story na Naj aliyeachia video yake ya ‘No Going Home’ mwishoni mwa wiki iliyopita. Kwenye kipindi hiki Naj amezungumzia historia yake, alivyoanza muziki, alivyoshiriki kwenye audition za filamu ya Harry Porter, uhusiano wake na Mr Blue na mambo mengi.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/nJyzVxp3OEs/default.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-mK5dKEPhBU0/U0eHmLNrzII/AAAAAAAFZ5w/AVZuFe7528g/s72-c/karibu-mjengwa.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-LCUZNafCWfg/VMMgJpJbb2I/AAAAAAAAHzU/Y9fyaPg4Zk4/s72-c/Mishumaa%2BFinal%2BProject%2B(1).jpg)
Sikiliza marudio ya kipindi cha MISHUMAA YA KALE (Jan 23, 2015)
![](http://1.bp.blogspot.com/-LCUZNafCWfg/VMMgJpJbb2I/AAAAAAAAHzU/Y9fyaPg4Zk4/s1600/Mishumaa%2BFinal%2BProject%2B(1).jpg)
MISHUMAA YA KALE ni kipindi kinachokuwezesha "kuruka majoka" na "kula mangoma" kwa kusikiliza nyimbo ziliotamba miaka ya zamani, kupata historia ya wasanii na vikundi mbalimbali na pia kusikiliza mazungumzo na maDj na wasanii mbalimbali wa zamani.
Ungana na MixMaster Dj Luke Joe kwenye "one and two" na Mubelwa Bandio nyuma ya kipaza sauti kwenye kipindi kipya cha MISHUMAA YA KALE kinakachokujia kila Ijumaa kuanzia saa 11 kamili jioni mpaka saa 1...