Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kimondo: Mwashiuya sasa ruksa Yanga.

Katibu Mkuu wa Yanga, Jonas Tiboroha.
Mshambuliaji Geofrey Mwashiuya ambaye alikuwa akidaiwa kujiunga na Yanga kinyemela, sasa ni mchezaji halali wa kikosi hicho kinachonolewa na Mholanzi Has van der Pluijm baada ya klabu hiyo ya Mtaa wa Twiga na Jangwani jijini Dar es Salaam kumalizana kimya kimya na Kimondo FC.

Klabu ya Yanga na Kimondo FC zilikutana jana jijini Mbeya kwa ajili ya kutafuta muafaka na inaelezwa kuwa kikao hicho kilichukua zaidi ya saa sita kulimaliza sakata hilo.

Akizungumza...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Klabu ya Kimondo Super Sports yaijia juu yanga kwa usajili wa mchezaji wake Geofrey Bahati Mwashiuya

Klabu ya Kimondo Super Sports inayoshiriki ligi daraja la kwanza Tanzania yenye maskani yake wilayani Mbozi mkoani Mbeya inapenda kutoa tamko juu ya mkanganganyiko wa taarifa za kuptosha za usajili wa mchezaji wake Geofrey Bahati Mwashiuya.


Klabu inasikitishwa saana na habari/taarifa zenye mkanganyiko zinazotolewa na msemaji wa timu ya Yanga,Katibu wa timu ya Yanga na mchezaji wetu Geofrey Mwashiuya katika vyombo mbalimbali vya habari;

Jerry Muro alisikika katika vyombo vya habari akijinadi...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yaufyata kwa Kimondo

Waswahili wanasema kubali yaishe. Hicho ndicho kilichotokea baada ya mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga ‘kuiangukia’ Kimondo FC ili kumaliza mgogoro wa usajili wa mshambuliaji Geofrey Mwashiuya.

 

10 years ago

Habarileo

Midahalo ya watangaza nia CCM sasa ruksa

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaWATANZANIA sasa watapata fursa pana zaidi ya kufahamu kwa undani wanachama wa CCM waliotangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho, baada ya Katibu Mkuu wake, Abdulrahman Kinana, kuridhia midahalo kwa wanachama hao.

 

11 years ago

Mwananchi

Wambura sasa ruksa kuwania urais Simba

Dar es Salaam. Kama ilivyotarajiwa, Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemrejesha Michael Wambura kugombea urais wa Simba baada ya vikao vya siku mbili kujadili rufaa yake dhidi ya kuenguliwa na Kamati ya Uchaguzi ya klabu hiyo, uamuzi uliofanywa kwa kupiga kura na hivyo kumpitisha kwa kura 3-2.

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu EAC sasa ruksa kufundisha nchi wanachama

Baraza la Mawaziri la Afrika Mashariki (EAC), limekamilisha mpango unaolenga kumaliza uhaba wa walimu kwa kuwaruhusu kufanya kazi katika nchi yoyote mwanachama wa Jumuiya hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga ruksa kuwaona Azam

>Bodi ya Ligi Tanzania, (TPLB) imefungua milango kwa Yanga kuonana na Azam Media kujadili suala la malipo yao.

 

11 years ago

GPL

FIFA: OKWI RUKSA YANGA

Emmanuel Anorld Okwi. KIUNGO nyota Mganda, Emmanuel Anorld Okwi, ni mchezaji halali wa Yanga.
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeeleza kuhusiana na habari hiyo njema kwa mashabiki wa Yanga baada ya kupata ufafanuzi kutoka kwa lile la kimataifa (Fifa). TFF ndiyo waliosimamisha usajili wa Okwi, saa chache kabla ya kuanza kwa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara, lakini jana wamethibitisha anaweza kuanza kuitumikia...

 

11 years ago

GPL

OKWI RUKSA KUITUMIKIA YANGA

Mshambuliaji wa Kimataifa wa timu ya Uganda na timu ya Young Africans leo ameruhusiwa rasmi kuanza kuitumikia timu yake katika michezo ya Ligi Kuu na mashindano ya klabu Bingwa Barani Afrika kufuatia Shirikisho la Soka nchini TFF kuipatia klabu yake taarifa rasmi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ruksa Yanga SC kwenda Fifa — TFF

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limebariki safari ya klabu ya Yanga kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), kupeleka suala la mshambuliaji Emmanuel Okwi, ingawa wao kama wasimamizi wa soka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani