Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga ruksa kuwaona Azam

>Bodi ya Ligi Tanzania, (TPLB) imefungua milango kwa Yanga kuonana na Azam Media kujadili suala la malipo yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KUWAONA SIMBA NA YANGA BUKU 5, AZAM KUKABIDHIWA KOMBE CHAMAZI

Michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara inafikia tamati kesho (Aprili 19 mwaka huu) kwa timu zote 14 kuwa viwanjani, huku mabingwa wapya Azam wakikabidhiwa kombe lao Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam katika mechi yao dhidi ya JKT Ruvu. Mechi zote saba zitachezwa kuanzia saa 10 kamili jioni ambapo Yanga na Simba zitakuwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kwa mechi ambayo viingilio vyake ni sh. 5,000...

 

11 years ago

GPL

FIFA: OKWI RUKSA YANGA

Emmanuel Anorld Okwi. KIUNGO nyota Mganda, Emmanuel Anorld Okwi, ni mchezaji halali wa Yanga.
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeeleza kuhusiana na habari hiyo njema kwa mashabiki wa Yanga baada ya kupata ufafanuzi kutoka kwa lile la kimataifa (Fifa). TFF ndiyo waliosimamisha usajili wa Okwi, saa chache kabla ya kuanza kwa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara, lakini jana wamethibitisha anaweza kuanza kuitumikia...

 

11 years ago

GPL

OKWI RUKSA KUITUMIKIA YANGA

Mshambuliaji wa Kimataifa wa timu ya Uganda na timu ya Young Africans leo ameruhusiwa rasmi kuanza kuitumikia timu yake katika michezo ya Ligi Kuu na mashindano ya klabu Bingwa Barani Afrika kufuatia Shirikisho la Soka nchini TFF kuipatia klabu yake taarifa rasmi.

 

10 years ago

GPL

Mastaa watano Yanga ruksa Simba

Mchezaji wa Yanga, Haruna Niyonzima. Na Wilbert Molandi
WAPO sokoni! Hivi ndivyo utakavyoweza kutamka baada ya wachezaji watano wa Klabu ya Yanga kubakiza miezi sita au chini ya hapo kwenye mikataba yao na timu hiyo. Kila timu hivi sasa inaangalia nafasi ipi yenye upungufu inayohitaji kuboresha kwa kusajili wachezaji wenye uwezo kwenye usajili wa dirisha dogo linalofunguliwa Novemba 15 na kufungwa Desemba 15. Wachezaji hao...

 

10 years ago

Vijimambo

Kimondo: Mwashiuya sasa ruksa Yanga.

Katibu Mkuu wa Yanga, Jonas Tiboroha.
Mshambuliaji Geofrey Mwashiuya ambaye alikuwa akidaiwa kujiunga na Yanga kinyemela, sasa ni mchezaji halali wa kikosi hicho kinachonolewa na Mholanzi Has van der Pluijm baada ya klabu hiyo ya Mtaa wa Twiga na Jangwani jijini Dar es Salaam kumalizana kimya kimya na Kimondo FC.

Klabu ya Yanga na Kimondo FC zilikutana jana jijini Mbeya kwa ajili ya kutafuta muafaka na inaelezwa kuwa kikao hicho kilichukua zaidi ya saa sita kulimaliza sakata hilo.

Akizungumza...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ruksa Yanga SC kwenda Fifa — TFF

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limebariki safari ya klabu ya Yanga kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), kupeleka suala la mshambuliaji Emmanuel Okwi, ingawa wao kama wasimamizi wa soka...

 

11 years ago

Michuzi

BREKING NYUUUZZZZZZ: Emmanuel Okwi ruksa kuchezea yanga - FIFA

Shirikisho la Soka Dunia (FIFA), limemruhusu mshambuliaji Emmanuel Okwi kuichezea Yanga. Barua ya Fifa iliyotua ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ilisema kuwa suala la malipo ya Simba kwa Etoile du Sahel hayausiani na Emmanuel Okwi kucheza mpira.  Rais wa TFF, Jamal Malinzi amesema kuwa taarifa hiyo ya Fifa imemruhusu mshambuliaji huyo acheze mpira iwapo ametimiza vigezo vyote vya usajili ikiwemo ITC.  "FIFA  wametuletea taarifa leo saa nne asubuhi na wametaka Okwi aruhusiwe...

 

10 years ago

Mwananchi

KUWAONA WATOTO WADOGO KUHUSU TEHAMA

Teknolojia ya habari na mawasiliano inaendelea kukua na kutumika kwa kiasi kikubwa nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani