Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walimu EAC sasa ruksa kufundisha nchi wanachama

Baraza la Mawaziri la Afrika Mashariki (EAC), limekamilisha mpango unaolenga kumaliza uhaba wa walimu kwa kuwaruhusu kufanya kazi katika nchi yoyote mwanachama wa Jumuiya hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Dr. Senzibera ajivunia ushirikiano wa nchi wanachama EAC.

Na Ramadhani Mvungi,

Arusha.

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dakta Richard Senzibera amesema katika kipindi cha mwaka 2014, nchi za Jumuiya hiyo zimeonekana kupiga hatua kubwa za ushirikiano tofauti na miaka ya nyuma.

Hata hivyo ametaja dosari zilizojitokeza zikiwemo mizozo baina ya nchi na nchi kuwa zinafanyiwa kazi ili ziweze kuondolewa kwa njia za kidiplomasia.

Katika Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika jijini Arusha, Dokta Senzibera akizungumza na wanahabari amesema katika...

 

9 years ago

Mwananchi

Sarafu moja itakavyoimarisha uchumi nchi wanachama EAC

Wafanyabiashara wamekuwa wakitoa shutuma nyingi za kuvurugwa kibiashara wanapokuwa wameenda kufanya biashara katika moja ya nchi ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.

 

11 years ago

Michuzi

WALIMU WAASWA KUTOTUMIA VIROBA WAKATI WA KUFUNDISHA

baadhi ya walimu wakuu wa shule za sekondari Tanzania kanda ya mashariki kupitia umoja wao TAHOSSA wakimsikiliza ofisa elimu mkoa wa pwani hayupo alipofungua mkutano wao mjini Kibaha. Picha ya pamoja na baadhi ya walimu wakuu wanaounda umoja wao wa TAHOSSA Kanda ya mashariki.
Na John Gagarini, Kibaha
OFISA Elimu Mkoa wa Pwani Yusufu Kipengele amewataka walimu mkoani humo kuachana na tabia ya kutumia vilevi waingiapo madarasani kufundisha kwani hali hiyo inachangia kushuka kwa kiwango...

 

11 years ago

Habarileo

Mbowe: Wanachama ‘mizigo’ Chadema ruksa kuondoka

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema uongozi wake, utakilinda chama kwa gharama yoyote na kuwa milango iko wazi kwa watu wasio na nia ya dhati kuondoka.

 

10 years ago

Michuzi

ufunguzi wa mkutano wa 20 wa nchi wanachama wa mkataba wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya tabia nchi nchini peru

 Kushoto Waziri mh. Fatma  Fereji kutoka Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Kulia Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais mazingira mh.dkt Binilith Mahenge wakifuatilia hotuba ya katibu mkuu wa umoja wa Mataifa Bw Ban ki Moon hayupo pichani katika ufunguzi wa mkutano wa 20 wa nchi wanachama wa mkataba wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya tabia nchi ulihusisha viongozi wa juu marais na mawaziri..(High level segment) mjini Lima, Peru. Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

10 years ago

Vijimambo

Kimondo: Mwashiuya sasa ruksa Yanga.

Katibu Mkuu wa Yanga, Jonas Tiboroha.
Mshambuliaji Geofrey Mwashiuya ambaye alikuwa akidaiwa kujiunga na Yanga kinyemela, sasa ni mchezaji halali wa kikosi hicho kinachonolewa na Mholanzi Has van der Pluijm baada ya klabu hiyo ya Mtaa wa Twiga na Jangwani jijini Dar es Salaam kumalizana kimya kimya na Kimondo FC.

Klabu ya Yanga na Kimondo FC zilikutana jana jijini Mbeya kwa ajili ya kutafuta muafaka na inaelezwa kuwa kikao hicho kilichukua zaidi ya saa sita kulimaliza sakata hilo.

Akizungumza...

 

11 years ago

Mwananchi

Wambura sasa ruksa kuwania urais Simba

Dar es Salaam. Kama ilivyotarajiwa, Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemrejesha Michael Wambura kugombea urais wa Simba baada ya vikao vya siku mbili kujadili rufaa yake dhidi ya kuenguliwa na Kamati ya Uchaguzi ya klabu hiyo, uamuzi uliofanywa kwa kupiga kura na hivyo kumpitisha kwa kura 3-2.

 

10 years ago

Habarileo

Midahalo ya watangaza nia CCM sasa ruksa

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaWATANZANIA sasa watapata fursa pana zaidi ya kufahamu kwa undani wanachama wa CCM waliotangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho, baada ya Katibu Mkuu wake, Abdulrahman Kinana, kuridhia midahalo kwa wanachama hao.

 

11 years ago

Mwananchi

Ukawa ruksa kufanya mikutano nchi nzima

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ametoa ruksa kwa wanachama wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kufanya mikutano yao nchi nzima.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani