Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sarafu moja itakavyoimarisha uchumi nchi wanachama EAC

Wafanyabiashara wamekuwa wakitoa shutuma nyingi za kuvurugwa kibiashara wanapokuwa wameenda kufanya biashara katika moja ya nchi ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YAWASILISHA RIPOTI YA KAMATI YA WATALAAM WA FEDHA, UCHUMI, MIPANGO NA USHIRIKIANO WA KIKANDA KATIKA MKUTANO WA MAWAZIRI WA FEDHA, UCHUMI, MIPANGO NA USHIRIKIANO WA KIKANDA WA NCHI WANACHAMA WA AU NA EAC, JIJINI ADDIS ABABA NCHINI ETHIO

Mwenyekiti wa Kamati ya Watalaam wa Fedha, Uchumi, Mipango na Ushirikiano wa Kikanda kwa nchi wanachama wa AU na EAC Dkt. Hamisi Mwinyimvua ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha akiwasilisha ripoti ya kamati hiyo kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Fedha,Uchumi,Mipango na Ushirikiano wa Kikanda unaoendelea Mjini AddisAbaba –Ethiopia. Mwenyekiti wa Mkutano wa Mawaziri wa Fedha, Uchumi, Mipango na Ushirikiano wa Kikanda kwa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) na kamisheni...

 

11 years ago

Mwananchi

Sarafu moja kuchochea ukuaji wa uchumi Afrika Mashariki

Wengi wanaitazama hatua iliyochukuliwa na viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ya kuridhia kuanzishwa kwa sarafu ya pamoja ni sawa na kusukuma tofali kwenye kina kirefu cha maji bila kuwa na matarajio ya kulifikia tena tofali hilo.

 

11 years ago

Habarileo

Ukosefu wa sarafu moja EAC tatizo kiuchumi

IMEELEZWA kuwa kutokuwepo kwa matumizi ya sarafu moja katika soko la pamoja la Afrika Mashariki kumeleta athari kubwa zitokanazo na matumizi makubwa ya fedha za kigeni katika nchi wanachama wa jumuia hizo.

 

10 years ago

StarTV

Dr. Senzibera ajivunia ushirikiano wa nchi wanachama EAC.

Na Ramadhani Mvungi,

Arusha.

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dakta Richard Senzibera amesema katika kipindi cha mwaka 2014, nchi za Jumuiya hiyo zimeonekana kupiga hatua kubwa za ushirikiano tofauti na miaka ya nyuma.

Hata hivyo ametaja dosari zilizojitokeza zikiwemo mizozo baina ya nchi na nchi kuwa zinafanyiwa kazi ili ziweze kuondolewa kwa njia za kidiplomasia.

Katika Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika jijini Arusha, Dokta Senzibera akizungumza na wanahabari amesema katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu EAC sasa ruksa kufundisha nchi wanachama

Baraza la Mawaziri la Afrika Mashariki (EAC), limekamilisha mpango unaolenga kumaliza uhaba wa walimu kwa kuwaruhusu kufanya kazi katika nchi yoyote mwanachama wa Jumuiya hiyo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkutano wa kamati ya watalaam wa fedha, uchumi na mipango wa nchi wanachama AU na ECA waanza Addis Ababa — Ethiopia

DSC_0049

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Hamis H. Mwinyimvua (Kulia) na Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Mh.Naimi Azizi wakiwaa kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Watalaamu wa masuala ya Fedha Afrika unaofanyika Mjini Addis Ababa – Ethiopia.

DSC_4687

Baadhi ya wajumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 8 wa Watalaam wa masuala ya Fedha – Afrika wakijadili jambo wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa ‘United Conference Centre’ Addis Ababa. Kulia ni Nd.Mbayani Saruni na Kushoto ni...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania yachaguliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya mawaziri wa fedha, uchumi na mipango ya nchi wanachama wa (AU) na kamisheni ya (ECA)

DSC_0196

Tanzania imechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kamati ya Watalaam wa Fedha,Uchumi na Mipango kwa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) na Kamisheni ya Uchumi ya Afrika (ECA) kwa kipindi cha mwaka mmoja. Uchaguzi huo ulifanyika baada ya ufunguzi wa kikao cha Kamati ya watalaam wa Fedha,Uchumi na Mipango ambacho kinaendelea Mjini Addis Ababa –Ethiopia. Kabla ya uteuzi huo nafasi hiyo ya Mwenyekiti ilikuwa inashikiliwa na Nigeria. Ukanda wa nchi za Mashariki mwa Afrika ulipewa nafasi ya kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Magavana waweka mikakati ya sarafu moja

>Mgavana wa benki kuu za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wamekubaliana kuandaa mifumo ya kisheria, taasisi na kuoanisha sera ikiwa ni utekelezaji wa itifaki ya kuanzisha Umoja wa Sarafu.

 

11 years ago

Mwananchi

EAC inajifunza nini kwa sarafu ya EU?

>Mwishoni mwa Novemba mwaka jana, kikao cha 15 cha Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) jijini Kampala Uganda kilikubaliana kusaini mkataba wa kuanzisha mchakato wa kuwa na sarafu moja itakayotumika katika nchi zote wanachama wa jumuiya hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani