Wambura sasa ruksa kuwania urais Simba
Dar es Salaam. Kama ilivyotarajiwa, Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemrejesha Michael Wambura kugombea urais wa Simba baada ya vikao vya siku mbili kujadili rufaa yake dhidi ya kuenguliwa na Kamati ya Uchaguzi ya klabu hiyo, uamuzi uliofanywa kwa kupiga kura na hivyo kumpitisha kwa kura 3-2.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
WAMBURA RUKSA KUGOMBEA URAIS SIMBA
10 years ago
BBCSwahili07 May
Pierre Nkurunziza ruksa kuwania urais
11 years ago
Mwananchi05 Jul
Hatima ya Wambura Simba sasa Agosti 3
11 years ago
Mwananchi21 Jun
UCHAGUZI SIMBA: Wambura: Sasa imetosha basi
11 years ago
Michuzi10 Jun
RUFANI YA MICHAEL WAMBURA KUGOMBEA URAIS SIMBA SC
10 years ago
Habarileo04 Mar
Sophia Simba athibitisha wanawake kuwania Urais
WAZIRI wa Mendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba amesema wapo wanawake wengi wenye sifa ya kushika nafasi ya Urais na kwamba muda utakapowadia watajitangaza.
10 years ago
Vijimambo08 Jul
Kimondo: Mwashiuya sasa ruksa Yanga.

Mshambuliaji Geofrey Mwashiuya ambaye alikuwa akidaiwa kujiunga na Yanga kinyemela, sasa ni mchezaji halali wa kikosi hicho kinachonolewa na Mholanzi Has van der Pluijm baada ya klabu hiyo ya Mtaa wa Twiga na Jangwani jijini Dar es Salaam kumalizana kimya kimya na Kimondo FC.
Klabu ya Yanga na Kimondo FC zilikutana jana jijini Mbeya kwa ajili ya kutafuta muafaka na inaelezwa kuwa kikao hicho kilichukua zaidi ya saa sita kulimaliza sakata hilo.
Akizungumza...
10 years ago
Habarileo07 Jun
Midahalo ya watangaza nia CCM sasa ruksa
WATANZANIA sasa watapata fursa pana zaidi ya kufahamu kwa undani wanachama wa CCM waliotangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho, baada ya Katibu Mkuu wake, Abdulrahman Kinana, kuridhia midahalo kwa wanachama hao.