Yanga yaufyata kwa Kimondo
Waswahili wanasema kubali yaishe. Hicho ndicho kilichotokea baada ya mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga ‘kuiangukia’ Kimondo FC ili kumaliza mgogoro wa usajili wa mshambuliaji Geofrey Mwashiuya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-g55acd_ZP6o/VZmBbwFzBmI/AAAAAAAHnLI/O96jVgF3zCo/s72-c/kk.png)
Klabu ya Kimondo Super Sports yaijia juu yanga kwa usajili wa mchezaji wake Geofrey Bahati Mwashiuya
![](http://2.bp.blogspot.com/-g55acd_ZP6o/VZmBbwFzBmI/AAAAAAAHnLI/O96jVgF3zCo/s400/kk.png)
Klabu inasikitishwa saana na habari/taarifa zenye mkanganyiko zinazotolewa na msemaji wa timu ya Yanga,Katibu wa timu ya Yanga na mchezaji wetu Geofrey Mwashiuya katika vyombo mbalimbali vya habari;Jerry Muro alisikika katika vyombo vya habari akijinadi...
10 years ago
Vijimambo08 Jul
Kimondo: Mwashiuya sasa ruksa Yanga.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Jonas-8July2015.jpg)
Mshambuliaji Geofrey Mwashiuya ambaye alikuwa akidaiwa kujiunga na Yanga kinyemela, sasa ni mchezaji halali wa kikosi hicho kinachonolewa na Mholanzi Has van der Pluijm baada ya klabu hiyo ya Mtaa wa Twiga na Jangwani jijini Dar es Salaam kumalizana kimya kimya na Kimondo FC.
Klabu ya Yanga na Kimondo FC zilikutana jana jijini Mbeya kwa ajili ya kutafuta muafaka na inaelezwa kuwa kikao hicho kilichukua zaidi ya saa sita kulimaliza sakata hilo.
Akizungumza...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Serikali yaufyata kwa mabalozi
LICHA ya onyo na tambo kwa mabalozi, Serikali ya Rais Jakaya Kikwete imekwepa kuwachukulia hatua, Balozi Dianna Malrose wa Uingereza na Lu Youqing wa China wanaodaiwa kukiuka taratibu za kidiplomasia....
10 years ago
Raia Mwema12 Aug
10 years ago
Raia Tanzania09 Jul
Kimondo FC yambadilikia Jerry Muro
UONGOZI wa Kimondo FC ya Mbeya unatarajia kuwasilisha barua kwenye Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuomba kufungiwa kutokujiusisha na soka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano na Habari wa Yanga, Jerry Muro kwa madai ya kutoa maneno machafu kwa Mkurugenzi wa timu hiyo, Erick Ambakisye.
Msemaji wa Kimondo FC Chriss Kashilika alisema jana kuwa uongozi wao ulitoa siku saba kwa Muro kumuomba msahama Ambakisye kutokana na maneno hayo machafu aliyomtolea mkurugenzi wao...
10 years ago
BBCSwahili13 Nov
Wanasayansi wajawa na shauku ya kimondo
10 years ago
BBCSwahili12 Nov
Roboti yatua kwenye Kimondo angani
9 years ago
Raia Mwema20 Sep
Kimondo cha Mbozi na imani za dini
KATIKA makala iliyopita kuhusu kimondo cha Mbozi, tuliangalia imani ya wenyeji kuhusu chuma hicho
Felix Mwakyembe
10 years ago
Mwananchi11 Oct
Kimondo, Villa hapatoshi ligi daraja la kwanza