Serikali yaufyata kwa mabalozi
LICHA ya onyo na tambo kwa mabalozi, Serikali ya Rais Jakaya Kikwete imekwepa kuwachukulia hatua, Balozi Dianna Malrose wa Uingereza na Lu Youqing wa China wanaodaiwa kukiuka taratibu za kidiplomasia....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Jul
Yanga yaufyata kwa Kimondo
Waswahili wanasema kubali yaishe. Hicho ndicho kilichotokea baada ya mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga ‘kuiangukia’ Kimondo FC ili kumaliza mgogoro wa usajili wa mshambuliaji Geofrey Mwashiuya.
10 years ago
MichuziMKOA WA IDARA ZA SERIKALI NA MABALOZI WA NSSF WATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii JAMII imetakiwa kutambua mahitaji ya watoto wanaoishi katika vituo vya kulelea katika kubaini changamoto zao katika maisha wanayoishi na kuweza kuguswa kutoa msaada. Hayo ameyasema leo Mhasibu Mwandamizi wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Idara za Serikali na Mabalozi,Wema Mbaga wakati akitoa msaada wa kituo Khilati Kilichopo Kigogo jijini Dar es Salaam,amesema kuwa wanatambua umhimu wa kutoa msaada kwa makundi maalumu wakiwemo watoto...
10 years ago
Mwananchi11 Jan
SAKATA LA IPTL: Mabalozi waitaka Serikali kuchukua hatua kali
>Licha ya Rais Jakaya Kikwete kutoa ufafanuzi wa sakata la uchotaji fedha kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu na kutangaza kuchukua hatua dhidi ya baadhi ya viongozi na watendaji, nchi wahisani wamesema bado suala hilo linawachanganya na wanasubiri tamko la Serikali.
9 years ago
MichuziSerikali yazungumza na Mabalozi kuhusu wajibu wao katika Uchaguzi Mkuu
Serikali kupitia Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, imesema kuwa waangalizi wa Uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, hawatakiwi kutoa tamko lololote kuhusiana na uchaguzi au Kampeni kabla ya Tume ya taifa ya uchaguzi NEC kutangaza matokeo. Waziri husika na Wzara hiyo, Bernard Membe amesema hayo wakati akizungumza na Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini Tanzania, ambapo amesema waangalizi hao wanaweza kutoa ripoti zao baada ya kuthibitishwa na Wizara hiyo au NEC na...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/JK.jpg)
RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino nchini Tanzania mwenye makazi nchini Kenya, Mhe. Bayani V. Mangibin. Hafla hiyo imefanyika Ikulu Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2015. Balozi Mangibin akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. Balozi Mangibin (kulia) akisalimiana na Katibu Mkuu wa...
9 years ago
MichuziMABALOZI WAIPONGEZA TAASISI YA JKCI KWA KUFANYA UPASUAJI WA MOYO
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-kyOfYiu5sxE/U7bWLvj-TRI/AAAAAAAFu9s/ODhRJlnwFP0/s72-c/unnamed+(10).jpg)
JK apokea hati za utambulisho ikulu kutoka kwa mabalozi wanne
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi wanne wanaoziwakilisha nchi zao hapa.Mabalozi waliowasilisha hati zao leo ikulu jijini Dar es Salaam ni pamoja na Balozi Ismail Salem wa Malaysia,Balozi Georges Aboua wa Cote d’Ivore, Balozi Thony Fred Balza Arismendi wa Venezuela na Balozi Ahmat Awad Sakine wa Chad.Pchani mabalozi hao wakiwasilisha hati zao kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Huku Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Maharage Juma(Katikati)...
10 years ago
MichuziSIKU YA PILI ILIVYOKUWA KWA MABALOZI WAKATI WAKIPANDA MLIMA KILIMANJARO
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania