Serikali yazungumza na Mabalozi kuhusu wajibu wao katika Uchaguzi Mkuu
Serikali kupitia Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, imesema kuwa waangalizi wa Uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, hawatakiwi kutoa tamko lololote kuhusiana na uchaguzi au Kampeni kabla ya Tume ya taifa ya uchaguzi NEC kutangaza matokeo. Waziri husika na Wzara hiyo, Bernard Membe amesema hayo wakati akizungumza na Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini Tanzania, ambapo amesema waangalizi hao wanaweza kutoa ripoti zao baada ya kuthibitishwa na Wizara hiyo au NEC na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
SERIKALI YAWASIMAMISHA WAKURUGENZI WALIOSHINDWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI leo imetangaza kuwasimamisha kazi Wakurugenzi watano (5) huku wengine wakipewa onyo kali katika utekelezaji wa majukumu yao.
Akithibitisha kusimamishwa kazi kwa Wakurugenzi hao,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh. Hawa Ghasia amesema kwamba Wakurugenzi hao wametenda makosa yanayowaondolea sifa za kuwa Wakurugenzi.
“Makosa yafuatayo ndio yanayopelekea Wakurugenzi hawa kusimamishwa;Kuchelewa kuandaa vifaa vya...
10 years ago
MichuziMABALOZI MBALIMBALI WAZUNGUMZA KUHUSU MAJUKUMU YAO KATIKA UCHAGUZI MKUU UJAO
9 years ago
Michuzi
5 years ago
CCM Blog
SERIKALI YATOA MSIMAMO KUHUSU VYAMA VYA SIASA VINAVYOTAKA KUSHIRIKIANA KINYEMELA UCHAGUZI MKUU (VIDEO)
Na Jacquiline Mrisho - Dodoma
Vyama vya Siasa ambavyo vinatarajia kushirikiana wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu bila kufuata Sheria ya Vyama vya Siasa kama ilivyoainishwa kwenye Kifungu Na.11 (a) cha Sheria hiyo vitakuwa vimevunja sheria.
Onyo hilo limetolewa leo jijini Dodoma na Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, wakati alipofanya mahojiano kuhusu msimamo wa ofisi yake kwenye suala la ushirikiano wa vyama vya siasa wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Nyahoza...
10 years ago
Michuzi25 Apr
10 years ago
Michuzi25 Apr
10 years ago
VijimamboWAANGALIZI WA UCHAGUZI KUTOKA UMOJA WA AFRIKA (AU) WATUA OFISINI KWA WAZIRI CHIKAWE, WAJADILIANA KUHUSU UCHAGUZI MKUU.
10 years ago
StarTV23 Oct
Kuelekea uchaguzi mkuu Wananchi watakiwa kuwahoji wagombea Wao
Zikiwa zimesalia siku chache kupiga kura, watanzania wamekumbushwa kuendelea kuwahoji wagombea katika dakika hizi za lala salama ili waweze kumbaini mgombea mwenyenia ya kuleta maendeleo ya kweli.
Kitendo cha kuwahoji wagombea bila kujali itikadi ya vyama vyao kinatoa fursa kwa wananchi kumtambua kila mgombea katika kuchochea mabadiliko.
Ni katika mdahalo ulioandaliwa na taasisi ya Wazo huru ukiwakutanisha wabunge wa jimbo la Nyamagana lengo likiwa ni kushindanisha sera za vyama...
10 years ago
Mwananchi11 Nov
Watendaji wakumbushwa wajibu wao