Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIKU YA PILI ILIVYOKUWA KWA MABALOZI WAKATI WAKIPANDA MLIMA KILIMANJARO

Mabalozi ,Waandishi pamoja na waongoza watalii wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutembea kwa umbali mrefu kueleka Horombo.Safari ya kuelekea kituo cha Horombo ikaendelea kwa pamoja bila ya kuacahana.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SAFARI YA MABALOZI KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KATIKA SIKU YA KWANZA

Desemba 16 mwaka huu Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi ,Mh Benard Membe alikabidhi bendera kwa Balozi Adadi Rajabu kwa niaba ya Mabalozi ,ikiwa ni ishara ya kuanzisha safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro na safari hiyo ilianza kwa muda wa siku sita.
Baada ya kupumzika katika eneo la Kisambioni na kupata chakula ,safari iliendelea ya kwenda kituo cha Mandara.Kila mmoja alikuwa na Morali ya juu wakati wote wa kupanda Mlima Kilimanjaro.Baada ya kuongoza msafara wa Mabalozi kama ishara ya kuanzisha...

 

10 years ago

Michuzi

MEMBE AZINDUA SAFARI YA MABALOZI KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KUTANGAZA UTALII

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe amewataka Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika mataifa mbalimbali ulimwenguni kuhakikisha kuwa wanatangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini ikiwa ni njia mojawapo ya kutekeleza diplomasia ya uchumi.
Waziri Membe aliyasema hayo wakati akizindua zoezi la kupanda Mlima Kilimanjaro linalofanywa na mabalozi mbalimbali wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi kwa lengo la kuutangaza Mlima Kilimanjaro ili uweze kuvutia watalii...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA MALIASILI YABARIKI KUANZISHWA KWA MFUKO WA KULINDA MLIMA KILIMANJARO NA MLIMA MERU

Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akizungumza wakati wa kikao kilicho shirikisha Kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazingira,Wabunge katika majimbo ya mikoa ya Arusha na Kilimanjaro,Wakuu wa wilaya zinazopakana na mlima Kilimanjaro na mlima Meru,TANAPA na Idara ya Misitu,(kulia)ni kaimu mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Ibrahim Msengi.Naibu waziri wa TAMISEMI ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Siha ,akichangia wakati wa kikao cha kuanzishwa kwa mchakato wa uanzishwaji mfumo wa...

 

10 years ago

Vijimambo

HIFADHI YA MLIMA KILIMANJARO YATANGAZA OFA YA KUPANDA MLIMA HUO KWA WATALII WA NDANI WA AFRIKA MASHARIKI.

Mhifadhi utalii katka hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA),Eva Mallya akizungumza juu ya ofa iliyotangazwa na hifadhi hiyo ya kupanda mlima huo kwa siku moja na kurudi hadi kilele cha Shira.
Afisa masoko wa KINAPA ,Antypas Mgungusi akisistiza jambo wakati akizungumzia juu ya ofa ya safafri ya kupanda Mlima Kilimanjaro huku akishauri wenye sherehe zao kutumia nafasi hiyo kupanda Mlima huo kwa ajili ya kufanya sherehe zao,alitaja sherehe ambazo zinaweza fanyika katika hifadhi hiyo ni pamoja na...

 

11 years ago

Mwananchi

JWTZ wapanda Mlima Kilimanjaro siku ya Uhuru

Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali George Waitara, jana amepokea ujumbe wa maofisa wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) na Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii nchini(TTB), Balozi Charles Sanga baada ya kumaliza kupanda Mlima Kilimanjaro, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mlima Kilimanjaro walindwa kwa mtandao

HIFADHI ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro, (Kinapa), imejizatiti kukabiliana na matukio ya moto kwenye maeneo yanayozunguka mlima huo, ambako sasa wanatumia mfumo maalum wa mawasiliano ya ‘internet’ kubaini dalili za...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mlemavu apanda mlima Kilimanjaro kwa baiskeli

MLEMAVU Eiju Murakanil, (65), raia wa Japan amefanikiwa kufika kituo cha Gilmas Mlima Kilimanjaro urefu wa mita 5,685 kutoka usawa wa bahari kikiwa ni kituo kimoja kutoka kileleni akitumia kiti...

 

5 years ago

Michuzi

MUONEKANO WA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO KWA SASA


Picha iliyopigwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete ikionesha muonekano wa juu wa Mlima Kilimanjaro Februari 12, 2020.

Dkt. Kikwete amesema kuwa picha hiyo ameipiga wakati akiwa njiani akitokea Nairobi kwenda Dar es Salaam, saa chache baada ya mazishi ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili nchini Kenya, Daniel Arap Moi.

 

10 years ago

Michuzi

MAGEREZA WAJIFUA TAYARI KWA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO

Sehemu ya Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza wakiwa katika mazoezi makali katika mitaa ya mji wa Moshi ikiwa ni maandalizi ya kupanda mlima Kilimanjaro ifikapo Machi 6,2015. Katikati (mwenye vazi jeupe) ni Kamishna Msaidizi wa Magereza Alexander Mmasy kutoka Makao Makuu ya Magereza, wa kwanza kulia ni Mrakibu Msaidizi wa Magereza Mbezi Ramadhani kutoka Ofisi ya Mkuu wa Magereza Mkoa wa Tanga na wa kwanza kushoto ni Mkaguzi wa Magereza Jamhuri Yassin kutoka Makao Makuu ya Magereza, Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani