TOFAUTI YA MAWAZIRI WA KIKWETE NA WALE WA NYERERE!
Chama legelege huzaa serikali legelege! Haya ni maneno ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipokuwa akizungumzia aina ya mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayefaa kuingia ikulu. Â Kwamba asiwe mtu wa kutafuta uongozi kwa njia ya rushwa ili kujenga serikali imara. Tukirudi nyuma, ni falsafa hiyohiyo aliyoitumia Mwalimu Nyerere wakati akiunda serikali yake baada ya kupata uhuru wa Tanganyika Desemba...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo504 Sep
Nahreel aeleza kwanini hajachukua wasanii tofauti na washikaji zake wale wale kufundisha kwenye chuo chake, ‘TIMS’
11 years ago
Mwananchi21 Jan
Baraza jipya la mawaziri ‘litafikiri tofauti?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
WALE WALE REMIX - KALA JEREMIAH FT JUMA NATURE, YOUNG KILLER & NAY LEE
10 years ago
VijimamboRais Kikwete aifariji familia ya Nyerere kufuatia kifo cha John Nyerere
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo leo asubuhi nyumbani kwa Baba wa Taifa Hayati Julius Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha mwanaye John Nyerere kilichotokea hivi karibuni.Aliyesimama pembeni ya Rais ni mdogo wa marehemu Makongoro Nyerere.
11 years ago
GPL07 Jul
10 years ago
Michuzi11 Jan
10 years ago
Vijimambo29 May
Mawaziri wa sasa,wa Nyerere ,mbingu na nchi
![](http://jamboleo.co.tz/wp-content/uploads/2015/05/Julius-Nyerere-640x853.jpg)
Peter AmbilikileBARAZA la Mawaziri la sasa ambalo lina asilimia 95 ya wasomi na wenye umri zaidi ya miaka 50, limekuwa likikumbwa mara kwa mara na kashfa za ufisadi na kukosa uwajibikaji, ukilinganisha na baraza la Mwalimu Julius Nyerere na Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh Amani Abeid Karume.Uchambuzi uliofanywa na gazeti hili unaonesha kwamba kati ya mawaziri 31 kamili, ni mawaziri sita tu ndiyo wenye umri wa miaka chini ya 50.Mawaziri hao ni Waziri wa Fedha, Saada Mkuya (40), Waziri wa...
10 years ago
MichuziBREAKING NEWZZZ:WATU NANE WAKAMATWA UWANJA WA NDEGE WA MWL.NYERERE WAKIINGIA NCHINI KWA PASPOTI BANDIA ZA MATAIFA TOFAUTI YA ULAYA
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-OZg0zbX4Wy4/VhS7_QYgZ8I/AAAAAAAH9YI/o_qZ8rxugqo/s72-c/New%2BPicture.png)
RAIS KENYATTA - ISINGEKUWA KIKWETE HISTORIA YA KENYA LEO INGEKUWA TOFAUTI
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
![](http://4.bp.blogspot.com/-OZg0zbX4Wy4/VhS7_QYgZ8I/AAAAAAAH9YI/o_qZ8rxugqo/s1600/New%2BPicture.png)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amemshukuru Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa juhudi na busara zake wakati nchi hiyo ilipoingia kwenye machafuko...