Kikwete abadili mawaziri
RAIS Jakaya Kikwete, amefanya mabadiliko muhimu katika Baraza la Mawaziri, kuziba pengo lililoachwa na mawaziri wawili, kutokana na kashfa ya utoaji wa fedha katika iliyokuwa Akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu (BoT).
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi20 Dec
YALIYOJIRI 2015: Jakaya Kikwete abadili mawaziri 13
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
RAIS ABADILI MAWAZIRI NA MANAIBU WAO
11 years ago
Habarileo25 May
Mawaziri kujieleza kwa Kikwete
IKIWA ni takribani mwaka mmoja sasa tangu Serikali ilipoamua kuanza kutekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), hatimaye mawaziri wanaotekeleza Mpango huo watawekwa `kikaangoni’ Julai mwaka huu.
11 years ago
BBCSwahili20 Dec
Kikwete afukuza mawaziri wanne TZ
11 years ago
Mwananchi15 Dec
Kikwete abebeshwa zigo la mawaziri dhaifu
10 years ago
Dewji Blog25 Jan
Kikwete abadilisha baraza lake la mawaziri
Moja wa Sura mpya katika baraza jipya la Mawaziri Naibu Waziri wa Elimu Anne Kilanngo Malecela akila kiapo Mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue akizungumza na vyombo vya habari jioni hii wakati akitangaza mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri, Ikulu, Jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mawaziri na manaibu waziri aliowaapisha ikulu jijini Dar es Salaam...
10 years ago
BBCSwahili24 Jan
Rais Kikwete awateua mawaziri 8 Tanzania
10 years ago
GPLTOFAUTI YA MAWAZIRI WA KIKWETE NA WALE WA NYERERE!
10 years ago
Mwananchi07 Feb
Miaka 10 ya Rais Kikwete: Ateua mawaziri 120