RAIS ABADILI MAWAZIRI NA MANAIBU WAO
![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
Waziri wa Nishati na Madini mpya, George Simbachawene. Waziri wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe.…
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV02 Jan
Rais Magufuli awaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wao.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli amewaapisha Makatibu wakuu na Manaibu katibu wakuu wa wizara mbalimbali wa Serikali ya awamu ya tano, ikiwa ni mwendelezo wa kukamilisha uteuzi wa watendaji.
Hatua hiyo imekuja kufuatia Rais Magufuli kufanya uteuzi wa Makatibu wakuu 29 na Manaibu katibu wakuu 21 na jumla yao kuwa 50, Desemba 29 huku akimbakiza katika nafasi yake Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.
Januari mosi ya mwaka 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-Kd4dJ6GIpGQ/Ut1OZJPb-LI/AAAAAAAFHtU/qSNSGK5wovM/s1600/w1.jpg)
TASWIRA YA RAIS KIKWETE KUWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI IKULU JANA
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-1E4ba-7TFsQ/VmvyutuejCI/AAAAAAAILwc/BIuS9IqJUAI/s72-c/MMG_2583.jpg)
RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.
![](http://2.bp.blogspot.com/-1E4ba-7TFsQ/VmvyutuejCI/AAAAAAAILwc/BIuS9IqJUAI/s640/MMG_2583.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
![](http://4.bp.blogspot.com/-ogRoevG5yFI/Vmv1aNbcIvI/AAAAAAAILxI/1ETFwJp5i-A/s640/MMG_2597.jpg)
10 years ago
Habarileo25 Jan
Kikwete abadili mawaziri
RAIS Jakaya Kikwete, amefanya mabadiliko muhimu katika Baraza la Mawaziri, kuziba pengo lililoachwa na mawaziri wawili, kutokana na kashfa ya utoaji wa fedha katika iliyokuwa Akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu (BoT).
9 years ago
Mwananchi20 Dec
YALIYOJIRI 2015: Jakaya Kikwete abadili mawaziri 13
10 years ago
Mtanzania09 Oct
Mawaziri, manaibu kuwa 40
![Mwenyekiti wa Kamati ya uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba, Andrew Chenge](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Andrew-Chenge.jpg)
Mwenyekiti wa Kamati ya uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba, Andrew Chenge
NA DEBORA SANJA, DODOMA
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalumu la Katiba, Andrew Chenge amesema Katiba inayopendekezwa imeongezwa masuala kadhaa ikiwamo ukomo wa mawaziri na manaibu wao ambao sasa hawatazidi 40.
Mbali na hilo, alisema idadi ya wabunge wa kuchaguliwa na kuteuliwa watakuwa 340 hadi 390.
Chenge aliyasema hayo jana mjini hapa ambapo aliweka wazi kuwa mabadiliko hayo yametokana na...
10 years ago
GPL24 Jan
9 years ago
Mwananchi01 Jan
Makatibu wakuu na manaibu wao waapishwa Dar
9 years ago
Mwananchi11 Dec
Manaibu waziri wa JK waula, wateuliwa mawaziri kamili