Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Manaibu waziri wa JK waula, wateuliwa mawaziri kamili

Uteuzi wa baraza la mawaziri uliofanywa na Rais Magufuli jana umewanufaisha baadhi ya naibu mawaziri wa awamu ya nne ambao wamepanda na kuwa mawaziri kamili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TASWIRA YA RAIS KIKWETE KUWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI IKULU JANA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (Mb)  Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Ikulu jijini Dar es salaam siku ya jana. Kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue .
 Mhe. Mathias Meinrad CHIKAWE (Mb)  Waziri wa Mambo ya Ndani akila kiapo .…

 

9 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii na Jinsia, wazee na watoto, Ummy Mwalimu katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri , leo katika ukumbi wa Ikulu...

 

9 years ago

Habarileo

Mawaziri wapya wanne wateuliwa

RAIS John Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza Baraza la Mawaziri la Kwanza katika awamu ya tano ya utawala wake.

 

11 years ago

Mtanzania

Mawaziri, manaibu kuwa 40

Mwenyekiti wa Kamati ya uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba, Andrew Chenge

Mwenyekiti wa Kamati ya uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba, Andrew Chenge

NA DEBORA SANJA, DODOMA

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalumu la Katiba, Andrew Chenge amesema Katiba inayopendekezwa imeongezwa masuala kadhaa ikiwamo ukomo wa mawaziri na manaibu wao ambao sasa hawatazidi 40.

Mbali na hilo, alisema idadi ya wabunge wa kuchaguliwa na kuteuliwa watakuwa 340 hadi 390.

Chenge aliyasema hayo jana mjini hapa ambapo aliweka wazi kuwa mabadiliko hayo yametokana na...

 

10 years ago

GPL

10 years ago

GPL

RAIS ABADILI MAWAZIRI NA MANAIBU WAO

Waziri wa Nishati na Madini mpya, George Simbachawene. Waziri wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe.…

 

10 years ago

Mwananchi

Manaibu waziri kuangushwa Serengeti

Historia ya manaibu waziri kuangushwa katika jimbo la Serengeti Mkoa wa Mara imeendelea kujitokeza baada ya naibu waziri wa afya na ustawi wa jamii dk Stephen Kebwe kuangushwa na mgombea wa Chadema.

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri wa fedha, manaibu wajitambulisha Zanzibar

Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein amekutana na Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Saada Mkuya Salum, Ikulu Mjini Zanzibar

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani