Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri wa fedha, manaibu wajitambulisha Zanzibar

Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein amekutana na Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Saada Mkuya Salum, Ikulu Mjini Zanzibar

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR, MHE. OMAR YUSSUF MZEE AWASILISHA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016

Waziri wa Fedha akiinua Begi lenye Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakati akiingia katika ukumbi wa mkutano kuwasilisha Hutuba ya Bajeti jana jioni katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Chukwani.Waziri wa Fedha wa Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee, akishindikizwa na Askari wa Baraza kuingia katika ukumbi wa Mkutano kwa ajili ya kusoma Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar jana jioni.Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Mzee akisoma Hutuba ya Bajeti ya...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR ASOMA BAJETI YA FEDHA YA MWAKA KWA MWAKA 2015/16 LEO

Waziri wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee akionesha Mkoba wa Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016 leo katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Waziri wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee akisoma Hutuba ya Mapato na Matumizi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016 leo katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi...

 

11 years ago

Mwananchi

Wakosoa uteuzi wa manaibu wizara ya fedha

Wadau mbalimbali wa uchumi, wamekosoa uteuzi wa Manaibu Waziri wa Wizara ya Fedha, wakisema uteuzi huo haujalenga mikakati ya kuleta maboresho ya kuondoa changamoto zilizopo katika wizara hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri wa Fedha Zanzibar amshikia Raza bango la kodi

>Mfanyabiashara maarufu wa Zanzibar, Mohamed Raza Dharamsi anadaiwa kodi inayotokana na gawio la faida kwa muda wa miaka 16 na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ)  kupitia Kampuni ya ZAT inayotoa huduma za viwanja vya ndege  visiwani Zanzibar, imefahamika.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR ASOMA HUTUBA YA BAJETI YA SERIKALI LEO

 Waziri wa Fedha Mhe. Omar Yussuf Mzee akionyesha begi lenye Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Zanzibar ya mwaka 2014-15.   Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakifutilia Hutuba yamapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2014-15. Baadhi ya wakuu wa sekta mbali mbali pamoja na wananchi wakisikiliza Hotuba ya Waziri wa Fedha Mhe. Omar Yussuf Mzee (hayupo pichani) kuhusu mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2014-15...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani