Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri wa Fedha Zanzibar amshikia Raza bango la kodi

>Mfanyabiashara maarufu wa Zanzibar, Mohamed Raza Dharamsi anadaiwa kodi inayotokana na gawio la faida kwa muda wa miaka 16 na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ)  kupitia Kampuni ya ZAT inayotoa huduma za viwanja vya ndege  visiwani Zanzibar, imefahamika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Waziri- Fedha za kodi zinabaki Z'bar

WAZIRI wa Fedha wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Saada Mkuya Salum amesema fedha zote zinazokusanywa Zanzibar zinazohusu kodi, zinabakia Zanzibar kwa matumizi ya wananchi wake.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR, MHE. OMAR YUSSUF MZEE AWASILISHA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016

Waziri wa Fedha akiinua Begi lenye Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakati akiingia katika ukumbi wa mkutano kuwasilisha Hutuba ya Bajeti jana jioni katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Chukwani.Waziri wa Fedha wa Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee, akishindikizwa na Askari wa Baraza kuingia katika ukumbi wa Mkutano kwa ajili ya kusoma Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar jana jioni.Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Mzee akisoma Hutuba ya Bajeti ya...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA FEDHA MHE. SAADA MKUYA ATEMBELEA MANISPAA ZA ILALA, KINONDONI NA TEMEKE KUKAGUA UKUSANYAJI WA KODI

 Na Rose MasakaWAZIRI wa Fedha Bi. Saada Mkuya amefanya ziara yake ya kikazi katika Wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam ili  kupata taarifa za makusanyo ya kodi za majengo ikiwa ni eneo moja kati ya maeneo sita ambayo yamepewa kipaumbele katika suala la ukusanyaji wa kodi kama vile eneo la kilimo na miundombinu.

Bi. Saada Mkuya aliahidi kufanya ziara hiyo katika kikao kilichofanyika wiki iliyopita baada ya kurudisha zoezi la ukusanyaji wa kodi za majengo katika Serikali za Mitaa ili kuona...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR ASOMA BAJETI YA FEDHA YA MWAKA KWA MWAKA 2015/16 LEO

Waziri wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee akionesha Mkoba wa Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016 leo katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Waziri wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee akisoma Hutuba ya Mapato na Matumizi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Mwaka wa Fedha 2015/2016 leo katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi...

 

10 years ago

Vijimambo

RAZA AWAPONDA WANAOTUMIA FEDHA KUWANIA MADARAKA

 Mwakilishi wa Baraza la Wawakilishi jimbo la Uzini (CCM), Mohamed Raza ( kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo juu ya mustakabali wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Vincent Tiganya. 
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mohammed Raza, ameshtushwa na baadhi ya wagombea wa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano kumwaga mabilioni yafedha chafu Zanzibar ili kuwashawishi baadhi Wajumbe wa chama hicho kuwaunga...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri wa fedha, manaibu wajitambulisha Zanzibar

Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein amekutana na Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Saada Mkuya Salum, Ikulu Mjini Zanzibar

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR ASOMA HUTUBA YA BAJETI YA SERIKALI LEO

 Waziri wa Fedha Mhe. Omar Yussuf Mzee akionyesha begi lenye Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Zanzibar ya mwaka 2014-15.   Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakifutilia Hutuba yamapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2014-15. Baadhi ya wakuu wa sekta mbali mbali pamoja na wananchi wakisikiliza Hotuba ya Waziri wa Fedha Mhe. Omar Yussuf Mzee (hayupo pichani) kuhusu mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2014-15...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI WA ZAMANI WA FEDHA ZANZIBAR, ACHUKUA FOMU ZA KUOMBA KUGOMBEA URAIS


Aliyekuwa Waziri wa Fedha na mipango Zanzibar, Dk Khalid Salum Mohammed amekuwa mgombea wa 15 kujitokeza kuchukua Fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani