Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAZA AWAPONDA WANAOTUMIA FEDHA KUWANIA MADARAKA

 Mwakilishi wa Baraza la Wawakilishi jimbo la Uzini (CCM), Mohamed Raza ( kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo juu ya mustakabali wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Vincent Tiganya. 
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mohammed Raza, ameshtushwa na baadhi ya wagombea wa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano kumwaga mabilioni yafedha chafu Zanzibar ili kuwashawishi baadhi Wajumbe wa chama hicho kuwaunga...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAZA ACHUKUA FOMU YA KUWANIA UWAKILISHI JIMBO LA UZINI

Mwakilishi wa jimbo la Uzini Mohamed Raza Hassanal akichukuwa fomu kwa Katibu Mkuu Wilaya Ali Yusssuf Salimu ya kugombea nafasi ya Uwakilishi kwa Jimbo la Uzini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) huko ya Wilaya ya Kati Dunga aktika Afisi ya Chama hicho. Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mohamed Raza akisaini fomu ya kugombea nafasi ya Uwakilishi mara baada ya kukabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Wilaya hiyo Ali Yussuf Salimu huko Wilayani.Picha na (Miza Othman -Maelezo Zanzibar).

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri wa Fedha Zanzibar amshikia Raza bango la kodi

>Mfanyabiashara maarufu wa Zanzibar, Mohamed Raza Dharamsi anadaiwa kodi inayotokana na gawio la faida kwa muda wa miaka 16 na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ)  kupitia Kampuni ya ZAT inayotoa huduma za viwanja vya ndege  visiwani Zanzibar, imefahamika.

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Msiwachague wanaotumia fedha chafu’

WATANZANIA wametakiwa kuwaadabisha kwa kutowachagua viongozi mafisadi wanaotaka kuingia madarakani kwa kutumia fedha chafu katika chaguzi zijazo. Rai hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Madini nchini, Richard Kasesela wakati...

 

10 years ago

Michuzi

MH. MAKALLA ACHANGIWA FEDHA ZA KUCHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA MVOMERO

Naibu Waziri wa Maji na Mbunge wa Mvomero, Amos Makalla Aprili 3,2015 alichangiwa fedha kiasi cha sh 2,319,500 na wananchi wa kijiji cha Manyinga na vijiji vya jirani kwa ajili ya kuchukua fomu ya kuwania Ubunge mara muda utakapofika.
Tukio la kuchangiwa fedha za kuchukulia fomu lilichagizwa na Naibu Waziri wa Afya, Dk. Stephen Kebwe aliyefanya ziara ya kukagua hospitali teule ya Bwagala na kisha kuongea na wananchi kwenye mkutano mkubwa wa hadhara.
Alipopanda jukwaani, Dk. Stephen Kebwe...

 

10 years ago

Michuzi

wanaCCM mkoani Tabora wamchangia mh. Lowassa fedha za kuchukulia fomu ya kuwania Urais

Mzee wa CCM wilaya ya Urambo mkoani Tabora, Yusuf Bundala Kasubi, (kulia), akimkabidhi Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, zaidi ya shilingi milioni moja, zilizochangwa na wanachama wa CCM mkoani Tabora, ili azitumia kulipia ada ya kuchukua fomu za kuwania urais kupitia chama hicho. Hafla ya kukabidhi fedha hizo ilifanyika nyumbani kwa Mtangaza nia huyo, mjini Dodoma leo Alhamisi Juni 4, 2015. Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM wilaya ya Nzega mkoani Tabora,...

 

10 years ago

Michuzi

Makalla aendelea kuchangiwa fedha za kuchukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la Mvomero

Mbunge wa Mvomero na Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla ameendelea kuchangiwa fedha za kuchukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo hilo pamoja na kufanya kampeni na makundi mbalimbali wilaya ya Mvomero, na safari hii ni umoja wa wanawake wa CCM (UWT) tawi la madizini na kushirikisha matawi kumi kata ya Mtibwa na kata ya Diongoya.
Katika mkutano mkubwa wa kihistoria wanawake wa matawi walimtaka mbunge huyo wakati ukifika achukue fomu na wao wanamuahidi ushindi ndani ya chama na nje ya...

 

10 years ago

Michuzi

Maalim Seif Sharif achangiwa fedha za kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya urais wa zanzibar wakati utakapofika

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad,akipokea fedha taslim kiasi cha shilingi milioni mbili na laki tano, kutoka kwa Mwenyekiti wa CUF zoni ya Mjini Unguja, Massoud Khamis, ili aweze kuchukua fomu ya kugombea urais wa Zanzibar wakati utakapofika.Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akionyesha fedha alizokabidhiwa kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea urais. Mwenyekiti wa CUF zoni ya Mjini Unguja, Massoud Khamis, akimkabidhi Katibu Mkuu wa Chama hicho...

 

10 years ago

Habarileo

Awaponda wanaohamia upinzani

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chadema, wilaya ya Monduli, mkoani Arusha, Amani Silanga amesema wanachama wanaotoka CCM na kujiunga na vyama vya upinzani ni mamluki na virusi wanaotafuta umaarufu wa kimaslahi.

 

9 years ago

Mtanzania

Darasa awaponda wanaomuiga Diamond

darasaNA HERIETH FAUSTINE

MKALI wa hip hop nchini, Darasa amewaponda wasanii wanaoiga njia anazotumia msanii mwenzao, Diamond  Platinum, kutangaza muziki wake nje ya nchi wakati hawajajiimarisha katika soko la ndani.

“Diamond alishafanya vitu vingi vizuri nyumbani na Afrika Mashariki kwa hiyo kwake ni wakati sahihi, kupitia kazi anazoendelea kufanya kwa kuwa ndani anakubalika hivyo nje nako ni rahisi kuendelea kukubalika,” alieleza Darasa.

Darasa aliendelea kuwafungua macho wasanii anaowaponda kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani