Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Darasa awaponda wanaomuiga Diamond

darasaNA HERIETH FAUSTINE

MKALI wa hip hop nchini, Darasa amewaponda wasanii wanaoiga njia anazotumia msanii mwenzao, Diamond  Platinum, kutangaza muziki wake nje ya nchi wakati hawajajiimarisha katika soko la ndani.

“Diamond alishafanya vitu vingi vizuri nyumbani na Afrika Mashariki kwa hiyo kwake ni wakati sahihi, kupitia kazi anazoendelea kufanya kwa kuwa ndani anakubalika hivyo nje nako ni rahisi kuendelea kukubalika,” alieleza Darasa.

Darasa aliendelea kuwafungua macho wasanii anaowaponda kwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Nusu ya wanafunzi darasa la saba hawawezi Kiingereza cha darasa la pili

>Asilimia 24 ya wanafunzi wa darasa la saba nchini hawawezi kusoma hadithi rahisi iliyoandikwa kwa lugha ya Kiswahili kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la pili ambapo asilimia 50 ya wanafunzi hao, hawawezi kusoma hadithi ya Kiingereza ya darasa la pili.

 

10 years ago

Habarileo

Awaponda wanaohamia upinzani

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chadema, wilaya ya Monduli, mkoani Arusha, Amani Silanga amesema wanachama wanaotoka CCM na kujiunga na vyama vya upinzani ni mamluki na virusi wanaotafuta umaarufu wa kimaslahi.

 

9 years ago

Mtanzania

MC Simon awaponda mastaa wa Bongo Movie

MC SimonNA SHARIFA MMASI

MSHEREHESHAJI mahiri nchini, Simon Mbwana, maarufu kwa jina la MC Simon, amewatupia lawama waandaaji na watunzi wa filamu za kibongo nchini kwamba hawana upeo mpana katika utunzi wao.

Alisema katika filamu yake anayotarajia kuiachia muda wowote ikikamilika itaonyesha mfano wa kuigwa na wakongwe hao katika utunzi na uchezaji anaoamini utaondoa pengo kubwa lililopo katika utunzi wa hadithi za tamthilia za kibongo.

“Tanzania ipo nyuma kimaendeleo katika filamu kwa kuwa si...

 

11 years ago

Habarileo

Barongo awaponda mashabiki wa serikali tatu

KATIBU mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, John Barongo amewapinga viongozi wanaounga mkono mfumo wa serikali tatu unaozungumziwa katika rasimu ya mapendekezo ya Katiba mpya, kwa madai kuwa ni walafi wa madaraka na wanafanya hivyo kwa maslahi yao wenyewe si ya nchi.

 

10 years ago

Vijimambo

RAZA AWAPONDA WANAOTUMIA FEDHA KUWANIA MADARAKA

 Mwakilishi wa Baraza la Wawakilishi jimbo la Uzini (CCM), Mohamed Raza ( kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo juu ya mustakabali wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Vincent Tiganya. 
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mohammed Raza, ameshtushwa na baadhi ya wagombea wa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano kumwaga mabilioni yafedha chafu Zanzibar ili kuwashawishi baadhi Wajumbe wa chama hicho kuwaunga...

 

5 years ago

BBCSwahili

Trump asheherekea ushindi,awaponda wapinzani wake

Siku moja baada ya kuondolewa mashtaka dhidi yake Rais Donald Trump amewaponda wapinzani wake akiwaita maadui zake.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Askofu awaponda viongozi wa dini bunge maalum

ASKOFU wa Kanisa la Hossana Life Mission, Ephraim Mwansasu, amesema asilimia 85 ya viongozi wa dini waliyoko ndani ya Bunge Maalum la Katiba wameshindwa kupigania maoni ya wananchi, badala yake...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mtunsy Awaponda Wadada Wanaojidai Kuwa na Wachumba Nchi za Nje

Muigizaji nguli na muongozaji wa filamu za kibongo, Nice Mohamed “Mtunisy” leo amewatolea uvivu wale wadada amabao wana dai kuwa na wachumba wao wapo nnje ya nchi. Hivi ndivyo alivyofunguka kwenye ukurasa wake wa kwenye mtandao wa INSTAGRAM.

"Duh yaelekea huko nchi za nje kuna WACHUMBA wa dada zetu wengi hapa nchini maana kila mdada ukimuuliza mchumba wake anakuambia yupo NJE cha ajabu miaka inakatika wamuona yupo mwenyewe tu hebu nyie WACHUMBA mlio huko NJE rudini basi muje kuwaoa hawa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani