Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makatibu wakuu na manaibu wao waapishwa Dar

Rais John Magufuli leo amewaapisha makatibu wakuu na naibu makatibu wakuu katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CCM Blog

BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA RASMI SEMINA ELEKEZI KWA MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU MAKATIBU WAKUU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Wakuu wakati akifungua Semina Elekezi kwa Makatibu hao Ikulu jijini Dar es Salaam


Baadhi ya Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika Semina elekezi ya siku moja Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Michuzi

NRWS ALERT: RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI ATEUA MAKATIBU WAKUU, MANAIBU MAKATIBU WAKUU NA KAIMU NAIBU KAMISHNA TRA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JIONI HII

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitangaza Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu Ikulu jijini Dar es Salaam jioni ya leo December 30, 2015. Kushoto ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, na kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakisikiliza kwa makini.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijiandaa kumkabidhi  Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue orodha ya Makatibu na Manaibu Katibu Wakuu aliowateua huku...

 

9 years ago

StarTV

Rais Magufuli awaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wao.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli amewaapisha Makatibu wakuu na Manaibu katibu wakuu wa wizara mbalimbali wa Serikali ya awamu ya tano,  ikiwa ni mwendelezo wa  kukamilisha uteuzi wa watendaji.

Hatua hiyo imekuja kufuatia Rais Magufuli kufanya uteuzi wa Makatibu wakuu 29 na Manaibu katibu wakuu 21 na jumla yao kuwa 50,  Desemba 29 huku akimbakiza katika nafasi yake Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.

Januari mosi ya mwaka 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu, Manaibu Makatibu Wakuu na Kaimu Naibu Kamishn TRA Nchini!!

5aa3c565-fa36-40d8-814f-d724ca5285d3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitangaza Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu Ikulu jijini Dar es Salaam jioni ya leo December 30, 2015. Kushoto ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, na kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakisikiliza kwa makini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu katika Wizara mbalimbali.

Walioteuliwa ni kama ifuatavyo;

Katibu Mkuu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Dkt. John Pombe Magufuli awaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu leo Ikulu Jijini Dar

IMG_0296

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.  Dkt.  Pombe Joseph Magufuli (kushoto) akimuapisha Profesa Adolf Mkenda (kulia) kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, 01 Januari, 2016 Ikulu Jijini Dar es Salaam. IMG_0311 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.  Dkt.  Pombe Joseph Magufuli (kushoto) akimuapisha Dkt. Maria Mashingo (kulia) kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, 01 Januari, 2016 Ikulu Jijini Dar es Salaam. IMG_0322 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Makatibu Wakuu na Manaibu kuapishwa kesho Januari Mosi, Ikulu jijini Dar!!

Dar_Ikulu-tz

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.

Kesho Ijumaa 01 Januari, 2016 Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wataapishwa rasmi katika Ukumbi wa Ikulu, uliopo lango kuu litazamalo baharini kuanzia saa nne asubuhi.

Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wote ambao wataapishwa na wale ambao walishaapishwa wanapaswa kuhudhuria katika tukio hili, ili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani