Muhongo atoa agizo zito
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameiagiza Mamlaka ya Bodi ya Bonde la Mto Rufiji (Rubada), kuwafungia maji wakulima wenye mashamba makubwa ya umwagiliaji wilayani Mbarali, Mkoa wa Mbeya ili yaelekezwe kwenye mabwawa ya umeme.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper
Kikwete atoa agizo zito Morogoro
SERIKALI imewaagiza viongozi wa wilaya ya Mvomero na mkoa wa Morogoro kukaa pamoja kujadili tatizo la wanafunzi wanaojiunga kidato cha kwanza kushindwa kumaliza kidato cha nne kwa idadi ile ile.
Agizo hilo lilitolewa na Rais Jakaya Kikwete wakati akiwahutubia wananchi wa kata ya Kibati, wilayani Mvomero akiwa katika ziara ya kikazi wilayani humo.
Rais Kikwete alisema amelazimika kutoa agizo hilo baada ya kupata taarifa kuwa wanafunzi 3,060 kati ya 5,255 walioanza kidato cha kwanza mwaka...
10 years ago
Habarileo09 Oct
Samatta atoa neno zito Stars
BAADA ya kufanikiwa kufunga bao moja katika ushindi wa mabao 2-0 ilioupata Stars ikiwa nyumbani dhidi ya Malawi, Mbwana Samata amesema, kama wachezaji wa Stars wangekuwa makini basi wangeweza kufunga mabao mengi zaidi kwenye mchezo huo.
11 years ago
Uhuru Newspaper
Pinda atoa agizo kubadili wafugaji
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, ameagiza watendaji kuhakikisha wanabadili fikra za wafugaji ili kuwawezesha kuendesha ufugaji wa kisasa na wa kibiashara, badala ya kuendelea na ule uliozoeleka, ambao hauna tija kubwa katika kukabiliana na umasikini.

Alitoa agizo hilo jana wakati akizindua mashindano ya Maonyesho ya Mifugo, ambayo kitaifa yanafanyika Dodoma katika viwanja vya Maonyesho ya Nanenane vilivyopo Nzuguni mjini hapa.
Pinda alisema ni lazima wizara ibadili fikra...
5 years ago
Michuzi
MAJALIWA ATOA AGIZO KWA MAMENEJA WA TANROADS NCHINI


5 years ago
Bongo514 Feb
Waziri Mkuu atoa agizo hili kwa Mifuko ya uwezeshaji
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa agizo kwa mifuko ya uwezeshaji wananchi kiuchumi kuweka wazi majukumu yake kwa wananchi ili wanufaike na mifuko hiyo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
Waziri Majaliwa ametoa kauli hiyo Mjini Dodoma katika viwanja vya Mashujaa, wakati akizungumza na wakazi wa mji huo katika hafla ya uzinduzi wa maonyesho ya mifuko ya uwezeshaji wananchi kiuchumi.
“Sasa tujitambulishe na mifuko hii itumie nafasi hii kutoa maelezo sahihi ya mfuko na kazi zake kwa wananchi kuhusu...
5 years ago
CCM Blog23 Apr
RAIS WA NIGERIA ATOA AGIZO LA KUACHILIWA HURU WAFUNGWA KWA SABABU YA CORONA

5 years ago
CCM Blog
MKUU WA MKOA ARUSHA ATOA AGIZO WAKATI WAKUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MFANYAKAZI WA NDANI

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema tayari Polisi wameshachukua hatua na anaedaiwa kumuua atafikishwa Mahakamani huku akitoa agizo kwa uongozi wa Hospitali ya Mount Meru kurudisha fedha zilizochukuliwa na Hospitali hiyo kwa ajili ya gharama za mochwari.
9 years ago
StarTV29 Dec
Waziri Muhongo atoa siku saba kwa TANESCO
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ametoa siku saba kwa shirika la ugavi wa Umeme nchini TANESCO kuunganisha umeme katika kituo cha ushuru wa forodha kilichopo kwenye mpaka wa Rusumo wilayani Ngara mkoani Kagera kwa upande wa Tanzania ambacho kimekuwa kikitegemea umeme kutoka nchini jirani ya Rwanda.
Waziri Muhongo ametoa maagizo hayo baada ya kupata taarifa kutoka kwa Maafisa wa forodha wa kituo hicho ambao wamemuelezea changamoto ya mara kwa mara ya ukosefu wa umeme...