Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mkuu atoa agizo hili kwa Mifuko ya uwezeshaji

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa agizo kwa mifuko ya uwezeshaji wananchi kiuchumi kuweka wazi majukumu yake kwa wananchi ili wanufaike na mifuko hiyo.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

Waziri Majaliwa ametoa kauli hiyo Mjini Dodoma katika viwanja vya Mashujaa, wakati akizungumza na wakazi wa mji huo katika hafla ya uzinduzi wa maonyesho ya mifuko ya uwezeshaji wananchi kiuchumi.

“Sasa tujitambulishe na mifuko hii itumie nafasi hii kutoa maelezo sahihi ya mfuko na kazi zake kwa wananchi kuhusu...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

mkuu wa mkoa wa lindi akagua miradi ya maendeleo wilayani liwale, atoa agizo kwa Wazazi kuhakikisha watoto waliopasi kuingia sekondari wawe wameripoti shuleni ndani ya siku 7

 Mkuu wa mkoa wa Lindi na ujumbe wake wakikagua Zahanati ya Kijiji cha Kikulyungu wilayani Liwale  Nyumba ya wahudumu wa Afya kijiji cha kikyulungu inayojengwa kwa Msaada wa Benjamin  Mkapa Foundation   Mkuu wa mkoa wa Lindi Mhe. Ludovick Mwananzila (mwenye suti ya kijivu) akikagua miradi ya Maendeleo wilayani Liwale  Mkuu wa mkoa wa lindi MheLudovick Mwananzila akihutubia wananchi wilayani liwale  kulia ni mkuu wa wilaya ya Liwale Mhe.  Ephraim Mmbaga Mkuu wa mkoa wa Lindi akikagua...

 

5 years ago

CCM Blog

MKUU WA MKOA ARUSHA ATOA AGIZO WAKATI WAKUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MFANYAKAZI WA NDANI

Mwili wa Salome Zakaria (aliekuwa mfanyakazi wa ndani) kabla ya kufariki baada kupigwa na kufungiwa ndani kwa siku mbili kwa madai ya kuiba Elfu hamsini, umeagwa Arusha na kusafirishwa kwenda Itigi, Singida kwa ajili ya mazishi.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema tayari Polisi wameshachukua hatua na anaedaiwa kumuua atafikishwa Mahakamani huku akitoa agizo kwa uongozi wa Hospitali ya Mount Meru kurudisha fedha zilizochukuliwa na Hospitali hiyo kwa ajili ya gharama za mochwari.

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO KWA WAKUU WA MIKOA NCHINI

  Wakuu wa Mikoa kote nchini wameagizwa kuwachukulia hatua wale wote watakaobainika kuuza sukari kwa shilingi 4500.
Waziri Mkuu Mhe.Kasim Majaliwa amesema hakuna sababu ya sukari kupanda bei kwani sukari ipo yakutosha, ilikuwa imepungua imeagizwa na imekwishaletwa.
Majaliwa ameyasema hayo leo Jumatano April 22, 2020 akiwa kwenye Maombezi ya kuombea Taifa dhidi ya ugonjwa huu yanayofanyika katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar 
“Wiki hii waumini wa kiislamu wanaanza mfungo wa Ramadhan hivyo...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATOA MSAADA WA BAJAJ KWA KIJIJI CHA VIJANA SIKONGE

Mkuu wa wilaya ya Sikonge Hanifa Selengu (aliyeshika mkoba) akikabidhi bajaj hiyo kwa Mwenyekiti wa Kijiji hicho cha Vijana Simon Mang’ombe. Vijana walioko katika Kijiji cha Mafunzo Sikonge wakifurahia chombo hicho cha usafiri kinachoendeshwa na kijana mwenzao. Mmoja wa vijana wa Kijiji cha Mafunzo akitoa neno la shukrani mbele ya mheshimiwa DC kwa niaba ya Waziri Mkuu. Bajaj iliyotolewa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwa ‘Kijiji cha Mafunzo ya Vijana’ wilayani Sikonge, mkoani Tabora.
WAZIRI...

 

9 years ago

StarTV

Baadhi ya waajiri wabainika hawajatii agizo la Waziri Mkuu

Baadhi ya waajiri wamebainika kuwa bado hawajatii agizo la waziri mkuu lililotolewa mwishoni mwa mwaka jana likitaka uboreshwaji wa mazingira ya kazi kwa kutoa mikataba na vibali vya kazi kwa wageni.

Hayo yamebainika jijini Arusha katika ziara inayofanywa  na naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi vijana na ajira ikilenga kukagua viwango vya ajira vinavyotolewa na waajiri.

Ziara hiyo iliyofanywa na Naibu wa kazi vijana na ajira Antony Mavunde ikiwa ni kufuatilia agizi la Mh. Waziri...

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA ATOA AGIZO KWA MAMENEJA WA TANROADS NCHINI



 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akitoa maelekezo kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale, wakati akikagua ujenzi wa barabara ya mchepuo na kalvati jipya la zege katika barabara kuu ya Dodoma – Morogoro eneo la Kiyegeya, ambapo mawasiliano katika barabara hiyo yamerejea.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, pamoja...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI KAMWELWE AITAKA LATRA KUCHUKUA HATUA KUKABILIANA NA CORONA KWENYE VITUO VYA MABASI,ATOA SIKU TATU KUHAKIKISHA ZINARATIBU AGIZO HILO

Charles James, Globu ya Jamii

SERIKALI imeziagiza Halmashauri za Majiji na Miji kukaa na Mamlaka za Udhibiti Usafiri wa Ardhini (LATRA) ili kuweka utaratibu maalum ambao utadhibiti mrundikano na wingi wa watu kwenye vituo vikuu vya mabasi.

LATRA na Halmashauri hizo zimepewa siku tatu kuhakikisha zinaratibu agizo hilo ikiwa ni hatua za serikali katika kujikinga na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona.

Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dodoma leo, Waziri wa Ujenzi,...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS WA NIGERIA ATOA AGIZO LA KUACHILIWA HURU WAFUNGWA KWA SABABU YA CORONA

Rais wa Nigeria atoa agizo la kuachiliwa huru wafungwa kwa sababu ya virusi vya Corona Rais Muhamadu Buhari wa Nigeria amemtaka Jaji Mkuu wa nchi hiyo awaachilie huru wafungwa ambao wamekuwa wakisubiri kusikilizwa kesi zao kwa kwa muda wa miezi sita sasa au zaidi, kama moja ya njia ya kukabiliana na ueneaji wa virusi vya Corona katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.Rais wa Nigeria amenukuliwa akisema kuwa, asilimia 42 ya wafungwa 74,000 wamekuwa wakisubiri kusikilizwa kesi zao, hivyo amemtaka Ibrahim Tanko Muhammad Jaji Mkuu wa nchi hiyo awaachilie huru wafungwa hao na...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATOA NENO KWA VIONGOZI VYA VYAMA VYA SIASA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu ni vema viongozi wa vyama vya siasa nchini wakaonesha mfano wa kuendesha siasa za kistaarabu zenye lengo la kuwaunganisha watanzania na siyo kuwatenganisha.

“Hivyo basi, tudumishe utulivu, amani, mshikamano pamoja na ustaarabu wetu wa Kitanzania katika kipindi chote cha kampeni na Uchaguzi Mkuu ili kulifanya Taifa letu kuendelea kuwa kisiwa cha amani na mfano wa kuigwa barani Afrika na duniani kwa ujumla.”

Waziri Mkuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani