Anna Mgwila aahidi maendeleo ya uchumi Tarime
MGOMBEA uraisi kwa tiketi ya chama cha ACT wazalendo mama Anna Mgwila amesema kwamba kama wananchi watampatia ridhaa ya kuwaongoza katika kipindi cha miaka mitano ijayo atahakikisha wananchi wa Tarime wananufaika kutokana na wilaya hiyo kuwa na mgodi mkubwa wa kuchimba madini ya dhahabu uliopo Nyamongo .
Mgwila ameyasema hayo katika mIkutano ya kampeni aliyo ifanya katika mji wa nyamongo na Tarime mjini
Mama anna mgwila mgombea uraisi kwa tiketi ya Act wazalendo amesema, kama atapewa...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-3VBFmmSqIbU/VDr2r_pvjVI/AAAAAAAGpoU/kazx_JHtPiw/s72-c/unnamed%2B(18).jpg)
BENKI YA KIARABU YA MAENDELEO YA UCHUMI YA AFRIKA ( BADEA)YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 12.0 (SHILINGI BILIONI 20.1) KUSAIDIA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA SAME NA MWANGA
10 years ago
VijimamboBENKI YA KIARABU YA MAENDELEO YA UCHUMI YA AFRIKA ( BADEA)YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 12.0 SAWA NA FEDHA ZA KITANZANIA SHILINGI BILIONI 20.1 KUSAIDIA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA SAME NA MWANGA
9 years ago
Mwananchi23 Oct
Rungwe aahidi uchumi wa viwanda Kigoma
10 years ago
Raia Tanzania09 Jul
Kembaki: Nina ufunguo wa maendeleo Tarime
IKIWA haijathibitika wazi kama Jimbo la Tarime, mkoani Mara litagawanywa kuwa majimbo mawili ya uchaguzi kuanzia mwaka huu, makada wa vyama tofauti vya siasa wameendelea kujitokeza kutangaza nia ya kuliongoza.
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Michael Kembaki, amekuwa mwanasiasa wa 15 kujitokeza kutangaza nia kugombea ubunge jimboni humo mwaka huu.
Licha ya mbunge wa sasa wa Tarime, Nyambari Nyangwine, anayejipanga kutetea kiti hicho, makada wengine wa chama hicho tawala wanaowania...
11 years ago
MichuziWAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI PROFESA ANNA TIBAIJUKA AKUTANA NA WADAU WA MJI MPYA WA KIGAMBONI DAR ES SALAAM
9 years ago
StarTV22 Sep
Anne Kilango aahidi kuwaletea wananchi maendeleo
Wakati Watanzia wakikaribia kwenye uchaguzi mkuu kuwachagua Wabunge Madiwani pamoja na Rais Mgombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM katika Jimbo la Same Mashariki Anne Kilango ameahidi kusimamia vyema ilani ya chama chake katika kuwaletea maendeleo wananchi hususani kwenye nyanja ya uchumi endapo atapata ridhaa kwa mara nyingine kuwa mbunge wa jimbo hilo.
Kilango ameyasema hayo katika mkutano wake wa kampeni wa kuomba kura kwa wananchi uliofanyika kwenye Kata ya Gonja Maore wilayani...
9 years ago
StarTV18 Sep
Ridhiwan Kikwete aahidi kuleta maendeleo akichaguliwa
Mgombea ubunge katika jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama cha mapinduzi CCM Ridhiwan Kikwete amesema kwa kipindi cha mwaka mmoja alichotumikia ubunge amefanikiwa kutatua kero mbalimbali za kijamii katika jimbo hilo
Amesema pamoja na jitihada aliyofanya kwa kipindi cha mwaka mmoja bado kuna changamoto ambazo zinahitaji kumalizwa hivyo amewaomba wananchi wa jimbo la Chalinze kumwamini kwa kumpa kura ili kutimiza lengo la kuwaletea maendeleo.
Riziwani ameyasema hayo wakati akizindua...
10 years ago
Habarileo30 Nov
Pinda aahidi utekelezaji mpango wa maendeleo ya taifa
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameahidi serikali kutekeleza ushauri wote uliotolewa na wabunge wakati wa kujadili mapendekezo yaliyowasilishwa na Serikali kuhusu Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2015/2016.
11 years ago
Tanzania Daima11 Jan
Tanzania yapiga hatua maendeleo ya uchumi
OFISI ya Taifa ya Takwimu imesema Tanzania imepiga hatua katika maendeleo ya uchumi kwa nchi za Afrika Mashariki kutokana na kupungua kwa mfumuko wa bei, hali inayoleta unafuu wa maisha...