Magufuli avunja bodi ya bandari Tanzania
Rais wa Tanzania John Magufuli amevunja bodi simamizi ya bandari siku chache baada ya kupatikana kwa makontena ambayo hayakuwa yamelipiwa ushuru Dar es Salaam.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziBREAKING NYUZZZZ......: RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA KATIBU MKUU WIZARA YA UCHUKUZI, AVUNJA BODI YA MAMLAKA YA BANDARI (TPA) LEO
Kuvunjwa kwa bodi hiyo kunatokana na utendaji mbovu wa Mamlaka hiyo kwa muda mrefu na kitendo cha kutokuchukua hatua katika vyanzo husika.
Akizungumza na waandishi wa Habari Ofisini...
10 years ago
Habarileo03 Jun
Sitta avunja Bodi ya Bandari, ateua mpya
WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amefuta uteuzi wa wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Nchini (TPA) kuanzia jana na kuteua wajumbe wengine wapya nane wanaounda bodi hiyo.
9 years ago
Mwananchi10 Nov
Dk Magufuli atimua bosi, avunja bodi Muhimbili
9 years ago
Bongo507 Dec
Magufuli aivunja bodi ya bandari, TPA

Rais Dkt John Magufuli ameivunja bodi ya mamlaka ya bandari, TPA.
Uamuzi huo umetangazwa Jumatatu hii na waziri mkuu, Kassim Majaliwa.
Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Majaliwa amesema Dkt Magufuli ametengua uteuzi wa mwenyekiti wa bodi ya bandari, Profesa Joseph Msambichaka na Mkurugenzi wa bandari, Awadh Massawe.
Pamoja na hivyo rais pia ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa wizara ya uchukuzi, Dkt Shaban Mwinjaka atakayepangiwa kazi nyingine.
Hatua hiyo imekuja baada...
9 years ago
CCM Blog09 Nov
MAGUFULI AVUNJA BODI YA UONGOZI MUHIMBILI ATEUA UONGOZI MPYA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulucommpress@googlemail.com
Website : www.ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE,
STATE HOUSE,
1 BARACK OBAMA ROAD,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli , leo mchana amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na...
9 years ago
Michuzi
BREAKING NYUZZZZZ.....: RAIS MAGUFULI AVUNJA BODI YA UONGOZI WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI, ATEUA UONGOZI MPYA WA MUDA

“ Rais amesikitishwa na kuhuzunishwa na hali ya huduma kwa wagonjwa hususan wanaolala chini. Pia amekasirishwa na hali ya kutokujali wala kushughulikia vifaa vya kufanyia kazi ambapo amekuta mashine muhimu za uchunguzi wa magonjwa kama vile MRI na CT-SCAN zikiwa hazifanyi kazi kwa muda wa miezi miwili...
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Michuzi
9 years ago
StarTV10 Nov
Rais avunja bodi ya Hosptali ya taifa ya Muhimbili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amevunja Bodi ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kukutana na hali ya kumsikitisha
Rais amemteua Prof. Lawrence Mseru , kukaimu nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Muhimbili kuanzia leo tarehe 10 Novemba, 2015.
Dkt. Hussein L. Kidanto ambaye ndiye anayekaimu hivi sasa, amehamishiwa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ambako atapangiwa kazi nyingine.
Pia...