Dk Magufuli atimua bosi, avunja bodi Muhimbili
Rais John Magufuli jana alifanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) ambako alishuhudia utoaji mbovu wa huduma na kuchukua hatua ya kuvunja Bodi ya Wakurugenzi ya hospitali hiyo na kumuondoa Kaimu Mkurugenzi wake, Dk Hussein Kidanto.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
CCM Blog09 Nov
MAGUFULI AVUNJA BODI YA UONGOZI MUHIMBILI ATEUA UONGOZI MPYA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulucommpress@googlemail.com
Website : www.ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE,
STATE HOUSE,
1 BARACK OBAMA ROAD,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli , leo mchana amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-S5H1zKYU8YE/VkDTYds2YsI/AAAAAAAIFF4/gCDOTHs_PU0/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-05-12%2Bat%2B4.36.49%2BPM.png)
BREAKING NYUZZZZZ.....: RAIS MAGUFULI AVUNJA BODI YA UONGOZI WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI, ATEUA UONGOZI MPYA WA MUDA
![](http://4.bp.blogspot.com/-S5H1zKYU8YE/VkDTYds2YsI/AAAAAAAIFF4/gCDOTHs_PU0/s640/Screen%2BShot%2B2015-05-12%2Bat%2B4.36.49%2BPM.png)
“ Rais amesikitishwa na kuhuzunishwa na hali ya huduma kwa wagonjwa hususan wanaolala chini. Pia amekasirishwa na hali ya kutokujali wala kushughulikia vifaa vya kufanyia kazi ambapo amekuta mashine muhimu za uchunguzi wa magonjwa kama vile MRI na CT-SCAN zikiwa hazifanyi kazi kwa muda wa miezi miwili...
9 years ago
StarTV10 Nov
Rais avunja bodi ya Hosptali ya taifa ya Muhimbili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amevunja Bodi ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kukutana na hali ya kumsikitisha
Rais amemteua Prof. Lawrence Mseru , kukaimu nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Muhimbili kuanzia leo tarehe 10 Novemba, 2015.
Dkt. Hussein L. Kidanto ambaye ndiye anayekaimu hivi sasa, amehamishiwa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ambako atapangiwa kazi nyingine.
Pia...
9 years ago
BBCSwahili07 Dec
Magufuli avunja bodi ya bandari Tanzania
9 years ago
MichuziBREAKING NYUZZZZ......: RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA KATIBU MKUU WIZARA YA UCHUKUZI, AVUNJA BODI YA MAMLAKA YA BANDARI (TPA) LEO
Kuvunjwa kwa bodi hiyo kunatokana na utendaji mbovu wa Mamlaka hiyo kwa muda mrefu na kitendo cha kutokuchukua hatua katika vyanzo husika.
Akizungumza na waandishi wa Habari Ofisini...
10 years ago
Habarileo03 Jun
Sitta avunja Bodi ya Bandari, ateua mpya
WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amefuta uteuzi wa wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Nchini (TPA) kuanzia jana na kuteua wajumbe wengine wapya nane wanaounda bodi hiyo.
9 years ago
Dewji Blog10 Nov
‘Hapa Kazi Tu’ yaondoka na Mkurugenzi Mkuu wa Muhimbili, Bodi yavunjwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali mmoja wa wagonjwa waliolazwa kwenye kwenye wodi ya sewahaji, kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, jijini Dar es salaam jana wakati wa ziara yake ya kushtukiza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli , jana mchana amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kukutana na hali ya kumsikitisha.
“ Rais amesikitishwa na kuhuzunishwa na hali ya huduma kwa...
9 years ago
Mwananchi28 Nov
Kasi ya Dk Magufuli yamsomba bosi TRA
9 years ago
Dewji Blog29 Aug
Dk Magufuli avunja rekodi ya UKAWA katika mkutano wa kampeni jijini Mbeya
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akitembea kwa miguu baada ya kumaliza kujinadi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi baada ya kumaliza kujinadi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwa na watoto...