Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ODAMA ATAKA WENZAKE WAJITUME

Imelda Mtema
STAA ambaye ni mtafutaji anayemiliki Kampuni ya J-Son Film, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amewataka mastaa wenzake wa kike kujituma kufanya kazi, kwani ndiyo siri pekee ya kuwaepuka wanaume wakware wanaotumia fedha kuwarubuni kirahisi. Staa ambaye ni mtafutaji anayemiliki Kampuni ya J-Son Film, Jennifer Kyaka ‘Odama’. Akipiga stori na gazeti hili, Odama alisema wanaume wakware wakiona staa wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Sugu ataka wenzake wakae majimboni

MBUNGE wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (CHADEMA), amesema wabunge wanatakiwa kutambua majimboni si sehemu ya kupakimbia na wapaone kuwa ni nyumbani kwao. Alitoa kauli hiyo jana bungeni alipokuwa akizungumza na...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge ataka Zitto, wenzake wafukuzwe

Wakati Kamati Kuu ya Chadema ikijipanga kuwahoji Zitto Kabwe na wenzake waliosimamishwa, Mwenyekiti wa chama hicho katika Kanda ya Kaskazini, Mchungaji Israel Natse, amesema salama ya chama hicho ni kuwatimua wote waliovuliwa nyadhifa zao.

 

10 years ago

Dewji Blog

Prof Mwandosya; Mwaka 2005 nilikuwa wa tatu mwaka huu ikulu zamu yangu, ataka wagombea wenzake wasiogope kuelezwa maovu

Waziri asiye na Wizara maalum Prof Mark Mwandosya akiwapungua mkono baadhi ya wahudumu wa uwanja wa Ndege wa Nduli Iringa wakati akiondoka mkoani Iringa kuelekea mkoani Tabora kutafuta  wadhamini kwa ndege hiyo ya kukodi. Waziri Prof Mwandosya  akitafakari jambo. Dereva  wa gari la Prof Mwandosya  Iringa akipata picha ya kumbukumbu na kuagana na rubani wa ndege aliyokodi Waziri huyo. Wadhamini wa Prof Mwandosya  wakiagana na waziri huyo. Waziri Prof. Mwandosya  na mkewe akishuka...

 

10 years ago

GPL

ODAMA AHOFIA KIFO

Na Imelda Mtema MTOTO mzuri Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefunguka kuwa kadri anavyosherehekea siku yake ya kuzaliwa ndivyo hofu ya kifo inavyozidi kumjaa. Mtoto mzuri Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’. Odama alifunguka hayo juzi alipokuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa katika Ukumbi wa Vijana ambapo alisema kutokana na hofu hiyo ndiyo maana aliamua kujumuika na watoto yatima....

 

9 years ago

GPL

MTOTO AMTESA ODAMA

Imelda Mtema Mateso! Sexy lady wa sinema za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ ametiririka kwamba katika kipindi chote alichokuwa mikoani kwa ajili ya Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) alikuwa akiteseka kila alipopiga simu kujua hali ya mtoto wake ambapo ilikuwa siyo chini ya mara saba kwa siku. Sexy lady wa sinema za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Odama alifunguka kuwa alikuwa akipitia...

 

10 years ago

GPL

ODAMA AMKANA PEDESHEE

Stori: Mayasa Mariwata Si kweli! Mtoto mzuri Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amekanusha vikali madai ya kutembea na pedeshee mmoja anayedaiwa kuwa ni mmiliki wa baa moja iliyopo maeneo ya River-Side, Ubungo jijini Dar. Mtoto mzuri Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama'. Baada ya kusomewa madai hayo ambayo yamesambaa kwenye mitandao ya kijamii, Odama alikanusha vilivyo na kusema wanamsingizia tu.“Hee!...

 

11 years ago

GPL

ODAMA AJIFUNGUA KIDUME

Stori: Imelda Mtema
HABARI njema! Staa wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’ amejifungua kidume huku akikataa kumtaja baba wa mtoto huyo. Staa wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’. anayedaiwa kwamba ni mheshimiwa serikalini.
Kwa mujibu wa vyanzo vyetu makini, Odama alijifungua kwa operesheni hivi karibuni kwenye Hospitali ya Kairuki jijini Dar baada ya kuwa kimya kwa miezi kadhaa...

 

10 years ago

GPL

ODAMA AFUNGUKA KUCHANGIA WANAUME!

Laurent Samatta
MAMBO yanazidi kunoga ndani ya safu hii ya Sindano 5 za moto, kutokana na maombi yenu, leo tumemleta kwenu mwigizaji Jeniffer Kyaka ‘Odama’, tiririka naye: Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Jeniffer Kyaka ‘Odama’. Paparazi: Mambo vipi Odama! Tuanze moja kwa moja na swali la kwanza, hivi kwa sasa una mpenzi? Mbona hatumjui?Odama: Mambo poa! Mpenzi ninaye, nampenda muda bado wa...

 

10 years ago

GPL

ODAMA AJENGA KABURI LA RECHO

Stori: Gladness Mallya UPENDO! Shosti mkubwa wa marehemu Recho Haule, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amejitolea kujenga kaburi la rafiki yake huyo aliyefariki mapema mwaka huu. Shosti mkubwa wa marehemu Recho Haule, Jennifer Kyaka ‘Odama’ akilitunza kaburi la aliyekuwa rafiki yake. Akizungumzia tukio hilo, Odama alisema kama rafiki yake kipenzi aliguswa kumfanyia kitendo hicho hivyo akashirikiana na aliyekuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani