Sherehe ya nyama ya mbwa Uchina yapingwa
Sherehe ya kula nyama ya mbwa kusini magharibi mwa China imeanza huku kukiwa na pingamizi miongoni mwa wanaharakati wa haki za wanyama.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili22 Jun
Sherehe za nyama ya mbwa zaanza Uchina
Sherehe ya kula nyama ya mbwa kusini magharibi mwa China imeanza huku kukiwa na pingamizi miongoni mwa wanaharakati wa haki za wanyama.
11 years ago
BBCSwahili30 Mar
Biashara ya Taiwan na Uchina yapingwa
Makumi ya maelfu ya raia wa Taiwan wamefanya maandamano katika mji mkuu wa Taipei ili kupinga makubaliano ya kibiashara na Uchina.
10 years ago
BBCSwahili15 Sep
11 years ago
GPL
WAKAZI JIJINI MWANZA WAHOFIA KULISHWA NYAMA YA MBWA!
Na Mashaka Baltazar, Mwanza
WAKAZI wa Butimba, Wilaya ya Nyamagana jijini hapa wanahofia kulishwa nyama ya mbwa kufuatia ngozi za mnyama huyo kuokotwa mara kwa mara zikiwa zimechunwa na kuondolewa kwato. Hivi karibuni, ngozi nyingine ya mbwa iligundulika saa 5:00 asubuhi eneo la kona ya kuelekea Gereza Kuu la Butimba ambapo wananchi wa eneo hilo walikusanyika kuishuhudia. Hata hivyo, haikuweza kufahamika mara moja nani...
11 years ago
KwanzaJamii04 Jun
IRINGA WALISHWA NYAMA YA MIZOGA YA PUNDA, PAKA NA MBWA
Mwananchi huyu alikutwa akiuchuna mzoga wa punda huyu huko Migori wilayani Iringa. Maeneo mengi ya vijijini katika Mkoa wa Iringa yanalalamikiwa na wananchi kwamba wanalishwa mizoga ya punda, paka na mbwa. (Picha na Said Ng’amilo).
Na Mathias Canal, Iringa
WAKAZI wa Kitongoji cha Lugofu katika Kijiji cha Ilandutwa, Wilaya ya Iringa Vijijini, mkoani Iringa wamelaani kitendo cha baadhi ya wafanya biashara wa nyama kijijini hapo kuwalisha nyama ya paka, mbwa na punda pasipo...
10 years ago
VijimamboNYAMA CHOMA YA SHEREHE YA MUUNGANO, RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AWA MGENI RASMI
11 years ago
Habarileo24 May
Mbwa mwitu, watoto wa mbwa, panya road kutokomezwa
JESHI la Polisi nchini limewaagiza Makamanda wa Polisi wa Mikoa, kuhakikisha wanavidhibiti na kuvitokomeza vikundi vyote vinavyojihusisha na vitendo vya uhalifu, ikiwemo uporaji, unyang’anyi na kujeruhi watu katika maeneo mbalimbali.
11 years ago
Mwananchi25 May
Tuwadhibiti panya road, mbwa mwitu, watoto wa mbwa
Dar es Salaam kumezuka tafrani, umeibuka mtindo mpya wa vibaka kupora kwa makundi kwa kufanya operesheni maalumu katika baadhi ya maeneo. Hivi sasa pamoja na kuwa uhalifu umekithiri nchi nzima, lakini kila eneo kuna uhalifu wa aina yake na huu ulioibuka Dar es Salaam unatisha.
5 years ago
Michuzi
KAIMU MSAJILI BODI YA NYAMA TANZANIA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI KIWANDA KIKUBWA CHA NYAMA CHA TANCHOICE
Na Mwandishi Wet u,Michuzi TV
KAIMU Msajili Bodi Ya Nyama Tanzania Iman Sichalwe amefanya ziara ya kuangalia maendeleo ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha nyama cha Tanchoice Soga kibaha mkoani Pwani.
Kiwanda hicho ni kikubwa Afrika Mashariki na Kati kwenye Sekta ya mifugo na kutajwa kuwa mkombozi mkubwa kwa wadau wa sekta ya nyama Nchini Ambapo kitakuwa na uwezo wa kuchinja ng'ombe 1000 na mbuzi 4500 kwa siku.
Akiwa kiwandani haoo baada ya kufanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa kiwanda hicho,...

Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania