Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sherehe za nyama ya mbwa zaanza Uchina

Sherehe ya kula nyama ya mbwa kusini magharibi mwa China imeanza huku kukiwa na pingamizi miongoni mwa wanaharakati wa haki za wanyama.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Sherehe ya nyama ya mbwa Uchina yapingwa

Sherehe ya kula nyama ya mbwa kusini magharibi mwa China imeanza huku kukiwa na pingamizi miongoni mwa wanaharakati wa haki za wanyama.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mbwa,Paka nyama zinazopendwa DRC

Mbwa na Paka ni kitoweo nchini Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo

 

10 years ago

GPL

WAKAZI JIJINI MWANZA WAHOFIA KULISHWA NYAMA YA MBWA!

Na Mashaka Baltazar, Mwanza
WAKAZI wa Butimba, Wilaya ya Nyamagana jijini hapa wanahofia kulishwa nyama ya mbwa kufuatia ngozi za mnyama huyo kuokotwa mara kwa mara zikiwa zimechunwa na kuondolewa  kwato. Hivi karibuni, ngozi nyingine ya mbwa iligundulika saa 5:00 asubuhi eneo la kona ya kuelekea Gereza Kuu la Butimba ambapo wananchi wa eneo hilo walikusanyika kuishuhudia. Hata hivyo, haikuweza kufahamika mara moja nani...

 

11 years ago

KwanzaJamii

IRINGA WALISHWA NYAMA YA MIZOGA YA PUNDA, PAKA NA MBWA

Mwananchi huyu alikutwa akiuchuna mzoga wa punda huyu huko Migori wilayani Iringa. Maeneo mengi ya vijijini katika Mkoa wa Iringa yanalalamikiwa na wananchi kwamba wanalishwa mizoga ya punda, paka na mbwa. (Picha na Said Ng’amilo). Na Mathias Canal, Iringa WAKAZI wa Kitongoji cha Lugofu katika Kijiji cha Ilandutwa, Wilaya ya Iringa Vijijini, mkoani Iringa wamelaani kitendo cha baadhi ya wafanya biashara wa nyama kijijini hapo kuwalisha nyama ya paka, mbwa na punda pasipo...

 

9 years ago

Michuzi

sherehe za kutimia miaka 52 ya Mapinduzi Zanzibar zaanza rasmi kwa usafi wa mazingira

Kazi za usafi wa mazingira kwenye maeneo tofauti Nchini katika kuanza rasmi kwa maadhimisho ya sherehe za kutimia miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar zimeonekana kuitikiwa vyema na Wananchi walio wengi pamoja na vikosi vya ulinzi hapa Nchini. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alijumuika na Wananchi hao kwa kazi za usafishaji wa Mtaro wa maji machafu unaokusanya maji kutokea mitaa ya Muembe Njugu, Kwahani, Kariakoo, Kilimani na Kumalizikia Pwani ya Kilimani. Akimuelezea...

 

10 years ago

Vijimambo

NYAMA CHOMA YA SHEREHE YA MUUNGANO, RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AWA MGENI RASMI

Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMVBwn. Iddi Sandaly akimpokea Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi mara tu alipowasili siku ya Jumamosi April 25, 2015 Capitol Heghts kwenye  nyama choma ya Jumuiya ya Watanzania DMV na yeye kupata fulsa ya kuwasalimia Watanzania waliohudhuria BBQ hiyo.Meza kuu kutoka kushoto ni mama Sitti Mwinyi, Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula.Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn Iddi Sandaly akiongea kumshukuru Rais...

 

11 years ago

Habarileo

Mbwa mwitu, watoto wa mbwa, panya road kutokomezwa

JESHI la Polisi nchini limewaagiza Makamanda wa Polisi wa Mikoa, kuhakikisha wanavidhibiti na kuvitokomeza vikundi vyote vinavyojihusisha na vitendo vya uhalifu, ikiwemo uporaji, unyang’anyi na kujeruhi watu katika maeneo mbalimbali.

 

11 years ago

Mwananchi

Tuwadhibiti panya road, mbwa mwitu, watoto wa mbwa

Dar es Salaam kumezuka tafrani, umeibuka mtindo mpya wa vibaka kupora kwa makundi kwa kufanya operesheni maalumu katika baadhi ya maeneo. Hivi sasa pamoja na kuwa uhalifu umekithiri nchi nzima, lakini kila eneo kuna uhalifu wa aina yake na huu ulioibuka Dar es Salaam unatisha.

 

5 years ago

Michuzi

KAIMU MSAJILI BODI YA NYAMA TANZANIA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI KIWANDA KIKUBWA CHA NYAMA CHA TANCHOICE

Na Mwandishi Wet u,Michuzi TV

KAIMU Msajili Bodi Ya Nyama Tanzania Iman Sichalwe amefanya ziara ya kuangalia maendeleo ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha nyama cha Tanchoice Soga kibaha mkoani Pwani.

Kiwanda hicho ni kikubwa Afrika Mashariki na Kati kwenye Sekta ya mifugo na kutajwa kuwa mkombozi mkubwa kwa wadau wa sekta ya nyama Nchini Ambapo kitakuwa na uwezo wa kuchinja ng'ombe 1000 na mbuzi 4500 kwa siku.

Akiwa kiwandani haoo baada ya kufanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa kiwanda hicho,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani