Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sifa ya kidato cha nne kuwa Mbunge yapingwa

KAMATI nyingi za Bunge Maalumu la Katiba, zimekataa sifa ya elimu ya kidato cha nne, kuwa kigezo cha msingi cha mgombea ubunge, kwa madai kuwa inabagua wananchi kwa kuondoa haki yao ya kidemokrasia ya kuomba kupigiwa kura na kupiga kura.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI KAGURUMJULI APONGEZWA KINONDONI KUONGOZA MARA NNE MFULULIZO MATOKEO KIDATO CHA NNE NA PILI KIMKOA


Mkuu wa shule ya Sekondari ya Canosa sister Irine Nakamanya akipokea cheti cha pongezi kwa shule hiyo kufanya vizuri kwenye matokeo ya kidato cha nne na pili.Wanafunzi na walimu waliokuwa katika hafla ya kupongezwa kwa kufanya vizuri katika matokeo ya kidato cha nne na cha pili mwaka 2019. Hafla hiyo imeandaliwa na Idara ya elimu Sekondari.

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AHMED .Z. MSANGI-SACP ANAWATANGAZIA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 NA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI BAADA YA USAILI KUKAMILIKA

Maelekezo Muhimu.

Wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014, kidato cha nne mwaka 2013 na JKT Mafinga, Mlale, Ruvu, Mgambo, Bulombola, Kanembwa, Itende, Nachingwea, Mbweni, Maramba, Chita, Makutupola, Mtabila, Msange, Mgulani, Oljoro, Rwankoma na Kimbiji wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Jeshi la Polisi.

Wahitimu hawa waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti tarehe 28/11/2014 kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa kama ilivyooneshwa kwenye jedwali hapa chini ili...

 

10 years ago

Habarileo

'Kidato cha nne msiibe mitihani'

WANAFUNZI wa Kidato cha Nne wanaotarajiwa kufanya mtihani wa taifa wameonywa kujiepusha na vishawishi vya kushiriki kwenye wizi wa mitihani na udanganyifu mwingine utakaowaondolea sifa ya kuendelea kufanya mitihani yao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maajabu matokeo kidato cha nne

MATOKEO ya kidato cha nne yaliyotangazwa hivi karibuni yameendelea kuibua mkanganyiko kutokana na kuwapo kwa utofauti wa madaraja kwa pointi zinazolingana. Mkanganyiko huo unatokana na kuwepo kwa hali ya sintofahamu...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limesema usahihishaji wa mitihani ya kidato cha nne uliofanyika Novemba mwaka jana, umekamilika.Katibu mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde aliliambia gazeti hili wiki hii kuwa “usahihishaji umekamilika na baraza lipo katika uchambuzi wa kuyapanga na tutakapokamilisha tutayatangaza”.Alipoulizwa ni lini hasa matokeo hayo yatatangazwa, Dk Msonde alisema: “Tumemaliza kusahihisha na mchakato wa kuyapanga ukikamilika tutawaeleza hivyo msiwe na shaka.”Katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Sifuri zatawala kidato cha nne

>Licha ya Baraza la Mitihani kueleza kuwa ufaulu katika matokeo ya Kidato cha Nne Mwaka 2013 umeongezeka kwa asilimia 15.17, baadhi ya wadau wa elimu wamesema yawezekana matokeo hayo ama yakawa sawa na yale ya mwaka 2012 au mabaya zaidi.

 

10 years ago

Mwananchi

Matokeo kidato cha nne yakamilika

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limesema usahihishaji wa mitihani ya kidato cha nne uliofanyika Novemba mwaka jana, umekamilika.

 

10 years ago

Habarileo

Mtihani Kidato cha Nne Jumatatu

MTIHANI wa Taifa wa Kidato cha Nne na Mtihani wa Maarifa wa mwaka 2014 unatarajiwa kufanyika nchini kote kwa takribani siku 20 kuanza keshokutwa huku idadi ya watahiniwa ikiwa pungufu ikilinganishwa na watahiniwa wa mwaka jana.

 

9 years ago

StarTV

Watahiniwa kidato cha nne waanza mitihani

Wanafunzi wa kidato cha nne nchini wameanza mitihani  ya Taifa ya kuhitimu elimu ya sekondari huku hali ya utulivu ikitawala katika vituo vyote vya kufanyia mitihani hiyo.

Mitihani hiyo imeanza Novemba 2 hadi 27 na jumla ya watahiniwa 4,634 ndiyo wanaofanya mitihani hiyo huku  960 wakiwa ni watahiniwa wa kujitegemea.

 Startv imetembelea katika baadhi ya shule ambapo mitihani hiyo inafanyika na kushuhudia wanafunzi wakiwa wanajisomea kwa ajili ya kujikumbusha kile walichofundishwa.

Monica...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani