Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waandika ukutani kupinga Katiba

WATU wasiofahamika, usiku wa kuamkia jana wameandika maneno kwenye kuta ukiwemo ukuta wa Kampuni ya Bakhressa katika maeneo ya Tazara wakidhihaki Katiba Inayopendezwa sanjari na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mwigulu kupinga Bunge la Katiba

MJADALA wa Bunge Maalumu la Katiba, umeanza kuibuka upya wakati Bunge la Bajeti likienda ukingoni ambapo Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba ameibuka na hoja ya kupinga nyongeza ya siku 60 za Bunge hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtikila asisitiza kupinga Bunge la Katiba

Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila, amesema mpango wake wa kwenda mahakamani ili kupinga mchakato wa Katiba Mpya, bado uko palepale na kwamba anajipanga.

 

10 years ago

Mtanzania

Arfi kupinga Bunge la Katiba mahakamani

Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi

Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi

Na Elizabeth Hombo, Dodoma

MBUNGE wa Mpanda Mjini, Said Arfi (Chadema), amesema ana mpango wa kwenda mahakamani ili kupata ufafanuzi wa mahakama juu ya uhalali wa Bunge Maalumu la Katiba kuachana na Rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku chache tu baada ya mwandishi wa habari, Said Kubenea chini ya wakili, Peter Kibatala kufungua kesi mahakamani kutaka Bunge la Katiba lisitishwe.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa...

 

10 years ago

Habarileo

Uamuzi kupinga Bunge la Katiba Sept 15

MAHAKAMA Kuu ya Kanda ya Dar es Salaam, imepanga Septemba 15, mwaka huu, kutoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), dhidi ya ombi la kusimamishwa kwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mkoani Dodoma.

 

10 years ago

Mwananchi

Bavicha kutumia chopa kupinga Katiba mikoani

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia Baraza lake la vijana, kimetangaza kuzindua Bavicha Operesheni itakayohusisha matumizi ya chopa kuzunguka katika mikoa ya kanda za Kati na Magharibi kueneza ujumbe wa kuikataa Katiba Inayopendekezwa sambamba na kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

 

11 years ago

Mwananchi

Kesi kupinga Bunge la Katiba yahamia Dar

 Kesi ya kikatiba iliyofunguliwa Mahakama Kuu Moshi na wananchi wawili wakitaka kusimamishwa kwa mchakato wa Katiba Mpya likiwamo Bunge la Maalumu la Katiba, sasa imehamishiwa Jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

TLS kwenda kortini kupinga Katiba Mpya

Wiki mbili kabla Bunge Maalumu la Katiba (BMK) kuanza vikao vya awamu ya pili baada ya kuahirishwa Aprili mwaka huu, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kinapanga kwenda mahakamani kusitisha mchakato wa utungaji wa Katiba Mpya.

 

10 years ago

Mwananchi

Mahakama yaridhia TLS kupinga Bunge la Katiba

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeipa kibali Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kufungua kesi ya kupinga Bunge la Katiba.

 

10 years ago

Mtanzania

Mnyika: Chadema tunajiandaa na maandamano kupinga Bunge la Katiba

John Mnyika

Mbunge wa Ubungo, John Mnyika

Michael Sarungi na Grace Shitundu, Dar es Salaama

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kipo katika hatua za mwisho za  maandalizi ya  maandamano ya kupinga vikao vya Bunge Maalamu  la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma.

Kauli hiyo imekuja siku moja baada ya Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC) kumuagiza Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana, kurudi katika meza ya mazungumzo na Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA)   kunusuru  mchakato wa Katiba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani