Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askofu: Katiba Pendekezwa isambazwe haraka mikoani

ASKOFU wa Kanisa la Anglikana Jimbo la Masasi, James Almas ameitaka serikali kusambaza haraka mikoani Katiba Inayopendekezwa ili iweze kuwafikia wananchi kwa wakati muafaka.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Sauti ya Muadhama, Askofu Mkuu Kardinali Pengo akizungumzia kuhusu tamko la Maaskofu juu ya Katiba pendekezwa

pengo

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Kardinali Polycarp Pengo.

 

10 years ago

Vijimambo

Mtandao wa Wanawake na Katiba wataja sababu za kuvutiwa na Katiba pendekezwa

Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Dk. Ave Maria Semakafu akizungumza katika mkutano huo na wahariri wa vyombo vya habari. Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Dk. Ave Maria Semakafu akizungumza katika mkutano huo na wahariri wa vyombo vya habari.Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Mtandao wa Wanawake na Katiba pamoja na TAMWA wakifuatilia mada mbalimbali zinazowasilishwa. Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Mtandao wa Wanawake na Katiba pamoja na TAMWA wakifuatilia mada mbalimbali zinazowasilishwa.Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA Valerie Msoka akiwasilisha mada katika mkutano huo wa Mtandao wa Wanawake na Katiba na TAMWA. Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA Valerie Msoka akiwasilisha mada katika mkutano huo wa Mtandao wa Wanawake na Katiba na TAMWA.Mmoja wa wahariri wa vyombo vya habari akiuliza swali katika kipindi cha majadiliano mara baada ya uwasilishaji mada. Mmoja wa wahariri wa vyombo vya habari akiuliza swali katika kipindi cha majadiliano mara baada ya uwasilishaji...

 

10 years ago

StarTV

Hatimaye Katiba pendekezwa yapatikana.

KATIBA Inayopendekezwa kwa wananchi, imepatikana jana na kukamilisha sehemu kubwa ya mchakato wa mabadiliko ya Katiba, ulioanzia katika ukusanyaji wa maoni ya wananchi. Jumatano ijayo, Oktoba 8, Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, anatarajiwa kukabidhi katiba hiyo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein mjini Dodoma.

Hofu ya kutopatikana kura za kutosha za wajumbe kutoka Zanzibar, iliyokuwepo kwa muda mrefu tangu...

 

10 years ago

Mwananchi

Katiba pendekezwa yapigiwa ‘debe’

Mratibu wa Umoja wa Wanawake Wanasiasa Tanzania (Ulingo), Dk Ave Maria Semakafu amesema harakati za wanawake nchini za kutaka haki zao zitambuliwe kwenye Katiba zitafanikiwa iwapo Katiba Inayopendekezwa itapitishwa.

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBA PENDEKEZWA YAANZA KAIWA PEMBA

BAADHI ya maboksi yenye katiba iliyopendekezwa ambayo Wilaya ya Chake Chake imepatiwa katiba 14925, ambazo zinataka kugaiwa kwa wananchi waliomo ndani ya wilaya hiyo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)MKUU wa Wilaya Ya Chake Chake Pemba, Mhe:Hanuna Ibrahim Massoud, akizungumza na wananchi na Wakuu wa taasisi mbali mbali za Serikali nje ya ofisi yake, kabla ya kuwakabidhi katiba iliyopendekezwa kwa wanancha na wakuu hao.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Pemba...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wakatoliki watakiwa kuisoma Katiba pendekezwa

WAKRISTO wa dhehebu la Katoliki nchini wametakiwa kuisoma kwa makini Katiba inayopendekezwa kabla ya kupiga kura ya maoni ili kufanya chaguo sahihi. Hayo yalisemwa juzi na Paroko wa Parokia ya...

 

10 years ago

Habarileo

‘Acheni kurubuniwa na wanaopinga Katiba Pendekezwa’

WANANCHI wa Zanzibar wametakiwa kutokubali kurubuniwa na watu wanaojidai kutetea maslahi ya Zanzibar kwa kupinga Katiba Inayopendekezwa na kubainisha kuwa lengo la watu hao ni kurudisha nyuma maendeleo ya Zanzibar.

 

10 years ago

Tanzania Daima

BAWACHA: Hatutaacha kukosoa Katiba pendekezwa

BARAZA la Wanawake CHADEMA, (BAWACHA), limesema kuwa halitaacha kuwaeleza wananchi mapungufu yaliyopo kwenye Katiba Pendekezwa kwani Rais Jakaya Kikwete ndiye aliyeanza kampeni kabla ya wakati ya kuhamasisha wananchi kuipigia kura...

 

10 years ago

StarTV

Wazanzibari wahimizwa kuisoma, kuielewa katiba pendekezwa.

Na Abdalla Pandu,

Zanzibar.

Wazanzibari wametakiwa kuisoma kwa makini Katiba inayopendekezwa kwa lengo la kujua umuhimu wake kabla ya kuipigia kura.

 

Vipengele vya Katiba hiyo vimeangalia namna ya kukomesha  vitendo vya udhalilishaji vinavyoendelea kushika kasi bila ya kuwepo kwa sheria madhubuti ya kudhibiti uhalifu na wahalifu wa vitendo hivyo.

Waziri wa Ustawi wa Jamii, Wanawake na Watoto Zanzibar Zainab Omar akiwa katika mkutano wa hadhara mara baada ya kumaliza ziara kwa Katibu mkuu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani