Katiba pendekezwa yapigiwa ‘debe’
Mratibu wa Umoja wa Wanawake Wanasiasa Tanzania (Ulingo), Dk Ave Maria Semakafu amesema harakati za wanawake nchini za kutaka haki zao zitambuliwe kwenye Katiba zitafanikiwa iwapo Katiba Inayopendekezwa itapitishwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo20 Dec
Mtandao wa Wanawake na Katiba wataja sababu za kuvutiwa na Katiba pendekezwa
![Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Dk. Ave Maria Semakafu akizungumza katika mkutano huo na wahariri wa vyombo vya habari.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0204.jpg)
![Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Mtandao wa Wanawake na Katiba pamoja na TAMWA wakifuatilia mada mbalimbali zinazowasilishwa.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0198.jpg)
![Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA Valerie Msoka akiwasilisha mada katika mkutano huo wa Mtandao wa Wanawake na Katiba na TAMWA.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0194.jpg)
![Mmoja wa wahariri wa vyombo vya habari akiuliza swali katika kipindi cha majadiliano mara baada ya uwasilishaji mada.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0256.jpg)
10 years ago
StarTV03 Oct
Hatimaye Katiba pendekezwa yapatikana.
KATIBA Inayopendekezwa kwa wananchi, imepatikana jana na kukamilisha sehemu kubwa ya mchakato wa mabadiliko ya Katiba, ulioanzia katika ukusanyaji wa maoni ya wananchi. Jumatano ijayo, Oktoba 8, Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, anatarajiwa kukabidhi katiba hiyo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein mjini Dodoma.
Hofu ya kutopatikana kura za kutosha za wajumbe kutoka Zanzibar, iliyokuwepo kwa muda mrefu tangu...
10 years ago
VijimamboKATIBA PENDEKEZWA YAANZA KAIWA PEMBA
10 years ago
Habarileo27 Nov
‘Acheni kurubuniwa na wanaopinga Katiba Pendekezwa’
WANANCHI wa Zanzibar wametakiwa kutokubali kurubuniwa na watu wanaojidai kutetea maslahi ya Zanzibar kwa kupinga Katiba Inayopendekezwa na kubainisha kuwa lengo la watu hao ni kurudisha nyuma maendeleo ya Zanzibar.
10 years ago
Tanzania Daima21 Oct
Wakatoliki watakiwa kuisoma Katiba pendekezwa
WAKRISTO wa dhehebu la Katoliki nchini wametakiwa kuisoma kwa makini Katiba inayopendekezwa kabla ya kupiga kura ya maoni ili kufanya chaguo sahihi. Hayo yalisemwa juzi na Paroko wa Parokia ya...
10 years ago
Tanzania Daima08 Nov
BAWACHA: Hatutaacha kukosoa Katiba pendekezwa
BARAZA la Wanawake CHADEMA, (BAWACHA), limesema kuwa halitaacha kuwaeleza wananchi mapungufu yaliyopo kwenye Katiba Pendekezwa kwani Rais Jakaya Kikwete ndiye aliyeanza kampeni kabla ya wakati ya kuhamasisha wananchi kuipigia kura...
10 years ago
Habarileo27 Jan
Askofu: Katiba Pendekezwa isambazwe haraka mikoani
ASKOFU wa Kanisa la Anglikana Jimbo la Masasi, James Almas ameitaka serikali kusambaza haraka mikoani Katiba Inayopendekezwa ili iweze kuwafikia wananchi kwa wakati muafaka.
10 years ago
Habarileo31 Dec
Wataka mkutano wa kitaifa uelewa Katiba pendekezwa
JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA) limesema ipo haja ya serikali kuitisha mkutano mkuu wa kitaifa wa kikatiba utakaoleta uelewa wa kutosha wa masuala yote katika Katiba pendekezwa.
10 years ago
StarTV28 Dec
Watanzania waaswa kuisoma na kuielewa katiba pendekezwa.
Na Emmanuel Makuliga
Mwanza
Askofu wa jimbo kuu la Mwanza Jude Thaddeus Ruwa’ichi ameitahadharisha jamii kuwa haipaswi kutumia ushabiki, mkumbo, hasira wala upendeleo kuipigia kura ya ndiyo au hapana Katiba inayopendekezwa.
Kauli ya Askofu Ruwa’ichi inakuja zikiwa zimesalia siku chache kabla ya Katiba hiyo kupigiwa kura na wananchi.
Wito huo umetolewa katika Ibada ya Misa Takatifu ya kutoa daraja la ushemasi kwa mafrateli watano wa Jimbo Kuu la Mwanza.
Askofu Ruwa’ichi anawasisitiza...