Wataka mkutano wa kitaifa uelewa Katiba pendekezwa
JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA) limesema ipo haja ya serikali kuitisha mkutano mkuu wa kitaifa wa kikatiba utakaoleta uelewa wa kutosha wa masuala yote katika Katiba pendekezwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo20 Dec
Mtandao wa Wanawake na Katiba wataja sababu za kuvutiwa na Katiba pendekezwa
![Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Dk. Ave Maria Semakafu akizungumza katika mkutano huo na wahariri wa vyombo vya habari.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0204.jpg)
![Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Mtandao wa Wanawake na Katiba pamoja na TAMWA wakifuatilia mada mbalimbali zinazowasilishwa.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0198.jpg)
![Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA Valerie Msoka akiwasilisha mada katika mkutano huo wa Mtandao wa Wanawake na Katiba na TAMWA.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0194.jpg)
![Mmoja wa wahariri wa vyombo vya habari akiuliza swali katika kipindi cha majadiliano mara baada ya uwasilishaji mada.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0256.jpg)
10 years ago
StarTV03 Oct
Hatimaye Katiba pendekezwa yapatikana.
KATIBA Inayopendekezwa kwa wananchi, imepatikana jana na kukamilisha sehemu kubwa ya mchakato wa mabadiliko ya Katiba, ulioanzia katika ukusanyaji wa maoni ya wananchi. Jumatano ijayo, Oktoba 8, Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, anatarajiwa kukabidhi katiba hiyo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein mjini Dodoma.
Hofu ya kutopatikana kura za kutosha za wajumbe kutoka Zanzibar, iliyokuwepo kwa muda mrefu tangu...
10 years ago
Mwananchi20 Dec
Katiba pendekezwa yapigiwa ‘debe’
10 years ago
Habarileo27 Nov
‘Acheni kurubuniwa na wanaopinga Katiba Pendekezwa’
WANANCHI wa Zanzibar wametakiwa kutokubali kurubuniwa na watu wanaojidai kutetea maslahi ya Zanzibar kwa kupinga Katiba Inayopendekezwa na kubainisha kuwa lengo la watu hao ni kurudisha nyuma maendeleo ya Zanzibar.
10 years ago
Tanzania Daima21 Oct
Wakatoliki watakiwa kuisoma Katiba pendekezwa
WAKRISTO wa dhehebu la Katoliki nchini wametakiwa kuisoma kwa makini Katiba inayopendekezwa kabla ya kupiga kura ya maoni ili kufanya chaguo sahihi. Hayo yalisemwa juzi na Paroko wa Parokia ya...
10 years ago
Tanzania Daima08 Nov
BAWACHA: Hatutaacha kukosoa Katiba pendekezwa
BARAZA la Wanawake CHADEMA, (BAWACHA), limesema kuwa halitaacha kuwaeleza wananchi mapungufu yaliyopo kwenye Katiba Pendekezwa kwani Rais Jakaya Kikwete ndiye aliyeanza kampeni kabla ya wakati ya kuhamasisha wananchi kuipigia kura...
10 years ago
VijimamboKATIBA PENDEKEZWA YAANZA KAIWA PEMBA
10 years ago
Tanzania Daima17 Nov
BAVICHA: Watanzania kataeni Katiba pendekezwa mwakani
BARAZA la Vijana la Taifa la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), limewataka Watanzania kuunganisha nguvu pamoja kuikataa Katiba Mpya iliyopendekezwa, kwani haina maslahi ya wananchi badala yake imewapendelea watuhumiwa...
10 years ago
StarTV02 Feb
Wazanzibari wahimizwa kuisoma, kuielewa katiba pendekezwa.
Na Abdalla Pandu,
Zanzibar.
Wazanzibari wametakiwa kuisoma kwa makini Katiba inayopendekezwa kwa lengo la kujua umuhimu wake kabla ya kuipigia kura.
Vipengele vya Katiba hiyo vimeangalia namna ya kukomesha vitendo vya udhalilishaji vinavyoendelea kushika kasi bila ya kuwepo kwa sheria madhubuti ya kudhibiti uhalifu na wahalifu wa vitendo hivyo.
Waziri wa Ustawi wa Jamii, Wanawake na Watoto Zanzibar Zainab Omar akiwa katika mkutano wa hadhara mara baada ya kumaliza ziara kwa Katibu mkuu wa...