Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majimbo ya Kilombero na Mlimba yaenda Chadema

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Morogoro kimepata majimbo mawili hadi sasa ambayo ni Mlimba na Kilombero.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI: Patachimbika CCM na Ukawa majimbo ya Mvomero na Kilombero

>Leo tunaanza uchambuzi wa majimbo ya Mkoa wa Morogoro, tukiukamilisha mkoa huu tutakuwa tumehesabu jumla ya mikoa 17 ambayo tumefanikiwa kuchambua majimbo yote yaliyomo kwenye mikoa hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

CCM yashinda majimbo 159, Chadema majimbo 35

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeongoza kwa kunyakua majimbo ya uchaguzi 159, ambayo hadi jana yamethibitishwa na wasimamizi waliopewa mamlaka ya kutangaza matokeo hayo na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), huku Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikifuatia kwa kupata majimbo 35.

 

5 years ago

Michuzi

CHADEMA YATIKISIKA KILOMBERO,VIONGOZI WAKE WAJIVUA UANACHAMA NA KUHAMIA CCM

VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilaya ya Kilombero wamejivua uanachama wa Chadema hicho  na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.

Waliojivua uanachama wa Chadema ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara CHADEMA, Mashaka Mbilinyi, Diwani kata ya Mbasa ,Chiza  Shungu, Mwenyekiti wa kamati huduma za Jamii Ifakara, Digna Nyangile, Diwani Viti Maaalum Ifakara, Antony Mwampunga Kamanda wa Red Briged wilaya Kilombero, Clarens  Manyota na Baraka Masala.

Wanachama hao wapya...

 

5 years ago

CCM Blog

CHADEMA YAPATA MAAFA KILOMBERO,VIONGOZI WAKE WAJIVUA UANACHAMA NA KUHAMIA CCM


Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Bushiru Ali akimpa mkono  Mbunge wa viti Maalum wa wilaya  ya kilombero Dkt.Getrude Lwakatare  wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali ya Chama hicho mkoani Morogoro wengine ni viongozi wa Mkoa wa Chama hicho.
Morogoro TanzaniaVIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilaya ya Kilombero wamejivua uanachama wa Chadema hicho  na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.

Waliojivua uanachama wa Chadema ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa...

 

10 years ago

Habarileo

Mgawanyo wa majimbo waibeba Chadema

UMOJA wa vyama vinne vya upinzani (Ukawa), umetoa rasmi mgawanyo wake wa majimbo ya ubunge kwa upande wa Tanzania Bara, baada ya kukubaliana, ambapo Chadema kimeongoza kwa kuwa na majimbo mengi kuliko vyama vingine.

 

10 years ago

Habarileo

Chadema yatwaa majimbo matatu, CCM manne

Mchuano mkali wa kuwania majimbo 266 ya Tanzania unaonekana ukiwa kati ya chama tawala, CCM na Chadema ambapo hadi mchana huu CCM ilikuwa imejikingia majimbo manne wakati Chadema ikijinyakulia majimbo matatu.

Kwa upande wa CCM, imejipatia majimbo ya Lindi Mjini, Mbinga Mjini, Mbinga Vijijini na Nanyamba wakati Chadema imejihakikishia ushindi katika majimbo ya Tarime Mjini, Tunduma na Buyungu.

Tutaendelea kukujulisha kulingana na matokeo unavyoyapata.

 

10 years ago

Habarileo

CUF na Chadema Moro wavutana kuachiana majimbo

CHAMA cha Wananchi (CUF) katika wilaya ya Morogoro Vijijini kichama na Kilosa mkoa wa Morogoro, kimejikuta kikiingia kwenye mvutano mkubwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kutokana na kushindwa kuachiana majimbo ya uchaguzi wa ubunge.

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema wayawinda majimbo ya Spika Makinda, Filikunjombe

>Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Njombe kimejipanga kuchukua  majimbo yote matano ya mkoani hapa katika Uchaguzi Mkuu ujao.

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema kutumia chopa tano kutetea majimbo ya Kaskazini

>Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza mkakati wake katika Uchaguzi Mkuu kwa Mkoa wa Arusha, lengo likiwa ni kuzoa majimbo na kata zote.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani