Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAPA KAZI TU YA MAMA SAMIA YATIKISA MAJIMBO YA UBUNGO, KINONDONI NA KAWE JIJINI DAR ES SALAAM

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wake wa kampeni aliofanya jana katika eneo la Msasani jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam.  Wananchi wakimshangilia mgombea ,wenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, alipohutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam, jana.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Majimbo ya Ubungo, Kinondoni, na Kawe jijini Dar es Salaam

Mkoa wa Dar es Salaam una jumla ya majimbo ya uchaguzi manane, ambayo yamo katika wilaya tatu za Kinondoni, Ilala na Temeke. Katika uchambuzi wa leo tutajikita katika majimbo matatu ya Wilaya ya Kinondoni, ambayo ni Ubungo, Kinondoni na Kawe.

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA KATIKA MAJIMBO YA UBUNGO, KINONDONI NA KAWE

Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa kampeni aliofanya jana, Septemba 4, 2015, katika eneo la Msasani, jimbo la Kawe, jijini Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo).Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, alipohutubia mkutano wa kampeni uliofanyika Septemba 4, 2015 katika eneo la Msasani, Jimbo la Kawe jijini Dar es SalaamAliyekuwa Spika wa Bunge wa Katiba, Samwel Sitta akihutubia...

 

9 years ago

Michuzi

mama salma kikwete anadi wagombea ubunge na udiwani kata ya ubungo jijini dar es salaam

 Jijini Dar es Salaam wakati wa Kampeni ya kumnadi Mjumbe wa NEC –CCM Lindi Mjini ,Mama Salma Kikwete,akizungumza na wakazi wa Kata ya Makurumla Magomeni mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo,Didas Masaburi na Diwani wa kata hiyo Rajabu Hassani  Mjumbe wa NEC –CCM Lindi Mjini ,Mama Salma Kikwete,akizungumza na kuonesha Irani ya uchaguzi wakazi wa Kata ya Makurumla Magomeni Jijini Dar es Salaam wakati wa Kampeni ya kumnadi mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo,Didas Masaburi na Diwani wa kata hiyo...

 

9 years ago

CCM Blog

VIDEO MBALIMBALI, WAKATI WA HAFLA YA DK. MAGUFULI NA MAMA SAMIA KUKABIDHIWA VYETI YAO VYA USHINDI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

1. Hafla ya kutangazwa rasmi mshindi wa urais 2015 kutokaa ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar Es Salaam; Washiriki wa mbio za urais wa vyama vya siasa pamoja na viongozi mbalimbali katika hafla za kutangazwa mshindi wa urais 2015; BOFYA HAPA 
2. MKurugenzi wa NEC Ramadhan Kailima akitoa tathmini ya mchakato wa uchaguzi mkuu mwaka 2015;
BOFYA HAPA 
3. Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu, Damian Lubuva akitoa taarifa za matokeo ya uchaguzi 2015 katika hafla ya kutangazwa mshindi wa urais 2015;
 BOFYA...

 

9 years ago

Dewji Blog

HAPA KAZI TU: Naibu Katibu Mkuu Mambo ya ndani ya Nchi atembelea makao makuu ya Idara ya uhamiaji Kurasini jijini Dar es Salaam!

PIX 1

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo (kushoto), akisalimiana na Kamishna wa Uhamiaji (Utawala na Fedha), Piniel Mgonja , wakati wa  ziara ya kikazi Makao Makuu ya Uhamiaji,Kurasini jijini Dar es Salaam.  Wa kwanza kushoto ni Kamishna Jenerali  wa Uhamiaji, Sylvester  Ambokile.

PIX 2

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Sylvester  Ambokile (kushoto), akimuonesha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, baadhi ya Ofisi za Idara ya Uhamiaji,...

 

10 years ago

Michuzi

klabu za michezo za maveterani Dar es salaam kurehemu marehemu Jumatatu (Mapinduzi Day) Leaders club, Kinondoni, jijini Dar es salaam

Umoja wa klabu za michezo za maveterani Dar es salaam,  chini ya uratibu wa klabu za Singasinga na Tazara,  unatangaza rasmi kwamba  shughuli ya kurehemu wanachama wenzetu ambao wametangulia mbele ya haki itafanyika JUMATATU 12/1/2015, ikiwa pia ni  sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya Mapinduzi.
Ratiba itaanza  Saa 7 mchana katika viwanja vya Leaders club jijini Dar es salaam. Dua zitafanyika  kutoka kwa Father Oscar na Sheikh Kipoozeo. Dua hizo zitafuatiwa na Chakula cha pamoja cha mchana...

 

9 years ago

Michuzi

BOMOA BOMOA YATIKISA MANISPAA YA KINONDONI JIJINI DAR LEO

 Baadhi ya Nyumba zikibomolewa mapema leo mchana mtaa Bwawani Manispaa ya Kinondoni,ambapo zoezi hilo linafanyika maeneo mbalimbali katika Manispaa hiyo. Manispaa ya Kinondoni kwa kushirikiana na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , kama msimamizi na mtekelezaji wa sera ya Taifa ya Ardhi, imekusudia kuanza kuendesha zoezi la kubomoa nyumba zilizojengwa bila kufuata taratibu za ujenzi.  Askari wa jeshi la Polisi wakisimamaia suala la usalama mtaa wa Bwawani wakati wa bomoa bomoa...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZINDUA MASHINDANO KINONDONI CUP JIJINI DAR ES SALAAM , AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 138

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wadau wa michezo, wakati wa uzinduzi wa Kinondoni CUP uliofanyika Viwanja vya Leaders Dar es Salaam jana ambapo pia aligawa vifaa vya michezo kwa timu  138 vikiwa ni seti mbili za jezi na mipira miwili kwa kila timu. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wadau wa michezo katika uzinduzi huo.
 DC Makonda akisisitiza jambo katika uzinduzi huo. Kutoka kulia ni Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Dk.Aziz Msuya, Diwani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani