Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BOMOA BOMOA YATIKISA MANISPAA YA KINONDONI JIJINI DAR LEO

 Baadhi ya Nyumba zikibomolewa mapema leo mchana mtaa Bwawani Manispaa ya Kinondoni,ambapo zoezi hilo linafanyika maeneo mbalimbali katika Manispaa hiyo. Manispaa ya Kinondoni kwa kushirikiana na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , kama msimamizi na mtekelezaji wa sera ya Taifa ya Ardhi, imekusudia kuanza kuendesha zoezi la kubomoa nyumba zilizojengwa bila kufuata taratibu za ujenzi.  Askari wa jeshi la Polisi wakisimamaia suala la usalama mtaa wa Bwawani wakati wa bomoa bomoa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

BOMOA BOMOA YA MANISPAA YAENDELEA MBEZI BICHI (BLOCK K) JIJINI DAR

  Nyumba nyingine eneo hilo nayo ikisubili kubomolewa na manispaa ya Kinondoni.  Ubomoaji ukiendelea.   



 Wazee wa kazi wakiwa katia geti la nyumba inayotakiwa kubomolewa  maeneo ya mtaa wa  Libermann Mbezi Bichi jijini Dar es Salaam leo. Wakazi wa nyumba nyeupe inayobomolewa wakitoka nje ya nyumba baada ya kuanza kubomolewa na manispaa ya Kinondoni.Picha zote na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

Michuzi

BOMOA BOMOA YA MAENEO YA WAZI YAENDELEA LEO MTAA WA BASIHAYA BUNJU JIJINI DAR

 Mhandisi wa Manispaa ya Kinondoni, Baraka Mkuya akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salam leo na kuwaomba wananchi wa eneo la Basihaya kata ya bunju kuwa watii wa sheria bila shuruti wakati wa ubomoaji wa majengo yaliyojengwa kwenye sehemu za wazi, pia amewahi wananchi kujua maeneo ya wazi yaliyo karibu nao, pia ameongezea kuwa wananchi wakiona maeneo ya wazi yanajengwa watoe taarifa manispaa ya Kinondoni au wizara ya Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi.Ubomoaji wa maeneo ya...

 

9 years ago

Michuzi

BOMOA BOMOA YAENDELEA JANGWANI LEO JIJINI DAR

Mkuu wa Kitengo cha Sheria Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira Tanzania (NEMC), Manchale Heche akizungumza juu ya kulinda usalama wa wananchi kimazingira na kiafya kwa ujumla kwa maeneo hayo ni hatari na wenyewe ni mashuhuda kipindi cha masika na kusababisha mafuriko.Bomoa bomoa ikiendelea Jangwani jijini Dar es Salaam leo.
Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.

 

9 years ago

Habarileo

Bomoa bomoa yatikisa Dar

VILIO vimetawala baada ya wakazi waishio katika eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam kukumbwa na bomoabomoa ambapo nyumba zaidi ya 100 zimebomolewa katika siku ya kwanza katika eneo la Mkwajuni na Magomeni katika Manispaa ya Kinondoni.

 

10 years ago

Michuzi

WAVAMIZI NA WAMILIKI WA ARDHI KINYUME CHA SHERIA JIJINI DAR KUKIONA, KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Alphayo Kidata (kulia) bakitoa tathmini ya zoezi la bomoa bomoa awamu ya tatu linaloendelea katika Manispaa ya Kinondoni jana jijini la Dar es salaam.Kulia ni Muhandisi wa Manispaa ya Kinondoni Baraka Mkuya.Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Bw. Alphayo Kidata (hayupo pichani) alipokuwa akitoa tathmini ya zoezi la bomoa bomoa kwa wananchi waliovamia maeneo...

 

9 years ago

Michuzi

BOMOA BOMOA YAWAFIKIA WANANCHI WANAOISHI PEMBEZONI MWA BONDE LA MTO MSIMBAZI JIJINI DAR ES SALAAM.

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na Manispaa za jiji la Dar es salaam zitafanya zoezi la kuondoa wavamizi maeneo yote ya Mabondeni, kingo za mito  na za Bahari, maeneo ya wazi, maeneo ya miundombinu na maeneo yote hatarishi zaidi ya 150 katika  jiji la Dar es salaam. Bomoa bomoa ya leo inaendelea katika Bonde la mto msimbazi.Mkuu wa Kitengo cha Sheria Balaza la Taifa la usimamizi wa mazingira Tanzania (NEMC), Manchale Heche...

 

9 years ago

Dewji Blog

Manispaa ya Kinondoni kuendesha zoezi la ‘bomoa bomoa’ leo ni kwa nyumba zisizofuata taratibu

DSC_7080 - Copy

Mkutano wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Waandishi wa Habari kuhusu zoezi la ubomoaji wa nyumba Manispaa ya Kinondoni (kuanzia kushoto) Mhandisi wa Manispaa ya Kinondoni, Bw. Baraka Mkuya, Kamishna wa Ardhi Tanzania Dkt. Moses Kusiluka na Kamishna wa Ardhi Msaidizi kanda ya Dar es salaam Bw. Methew Nhonge.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.doc 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani