BOMOA BOMOA ENEO LA BONDE LA MKWAJUNI JIJINI DAR ES SALAAM
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziBOMOA BOMOA YAWAFIKIA WANANCHI WANAOISHI PEMBEZONI MWA BONDE LA MTO MSIMBAZI JIJINI DAR ES SALAAM.
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Bomoa bomoa bonde la msimbazi Dar yaendelea
Tingatinga lilipotua Mto Msimbazi eneo la Kinondoni Mkwajuni kabla ya kuanza kazi ya bomoa bomoa.
Taswira ya Bonde la kinondoni Mkwajuni baada ya nyumba kuvunjwa katika eneo hilo.
Ulinzi ukiwa umeimarishwa katika eneo hilo.
Tingatinga likiwa kazini.
Baadhi ya wakazi wa maeneo hayo wakifuatilia bomoa bomoa hiyo.
Tingatinga likiendelea na kazi yake.
ZOEZI la bomoa bomoa katika Bonde la Mto Msimbazi jijini Dar es Salaam lililoanza wiki iliyopita, limeendelea tena wiki hii kutekeleza amri ya tamko la...
9 years ago
MichuziBOMOA BOMOA YA MANISPAA YAENDELEA MBEZI BICHI (BLOCK K) JIJINI DAR
Wazee wa kazi wakiwa katia geti la nyumba inayotakiwa kubomolewa maeneo ya mtaa wa Libermann Mbezi Bichi jijini Dar es Salaam leo. Wakazi wa nyumba nyeupe inayobomolewa wakitoka nje ya nyumba baada ya kuanza kubomolewa na manispaa ya Kinondoni.Picha zote na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
9 years ago
MichuziBOMOA BOMOA YATIKISA MANISPAA YA KINONDONI JIJINI DAR LEO
9 years ago
MichuziBOMOA BOMOA YA MAENEO YA WAZI YAENDELEA LEO MTAA WA BASIHAYA BUNJU JIJINI DAR
9 years ago
MichuziBOMOA BOMOA YAENDELEA JANGWANI LEO JIJINI DAR
Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.
10 years ago
MichuziWAVAMIZI NA WAMILIKI WA ARDHI KINYUME CHA SHERIA JIJINI DAR KUKIONA, KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA
11 years ago
Habarileo12 Aug
Bomoa bomoa nyingine Dar es Salaam
WANANCHI waliojenga pembezoni mwa barabara inayounganisha Tegeta na Mbezi, wametakiwa kuondoka katika maeneo hayo ili kupisha ujenzi wa barabara hiyo katika kiwango cha lami.