Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakala wa ununuzi wasaidia wagonjwa

ALLY BADI

WAKALA wa Ununuzi wa Serikali Mkoa wa Lindi, GPSA umekabidhi msaada wenye thamani ya Sh milioni moja kwa wagonjwa wa Hospitali ya Sokoine mkoani hapa.

Akizungumza baada ya kukabidhi msaada huo, Kaimu Meneja wa Wakala wa Ununuzi Mkoa wa Lindi, Mwakiselu Mwambange, alisema wametoa msaada wa kanga, sabauni za kuogea na kufulia kwa wagonjwa pamoja na makopo ya maziwa kwa ajili ya kusaidia wagonjwa.

Mwambange alisema kitendo hicho ni utamaduni wa wakala wa ununuzi kusaidia watu wenye...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wakala aasa umakini ununuzi gesi

WAKALA wa Vipimo (WMA) imewataka wananchi kuwa makini na matumizi ya mizani wakati wa kununua gesi kutoka kwa wauzaji wa reja reja.

 

10 years ago

Habarileo

Wawata Dar wasaidia wagonjwa mil 9.5/-

WANAWAKE Wakatoliki Tanzania (WAWATA), Jimbo Kuu la Dar es Salaam, wametoa Sh milioni 9.5 kwa ajili ya kusaidia Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na Taasisi ya Saratani ya Ocean road.

 

9 years ago

GPL

WATUMIAJI INSTAGRAM WASAIDIA WAGONJWA OCEAN ROAD

Mmiliki wa Twaiba Classic Centre akitoa michango kwa baadhi ya wagonjwa.
Wana-Instagram wakiwa katika picha ya pamoja nje ya Hospitali ya Ocean Road. KIKUNDI cha watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Instagram jijini Dar wanaounda umoja wa kusaidia wagonjwa katika hospitali kubwa jijini, wametoa msaada kwa wagonjwa katika Hospitali ya Ocean Road ikiwa ni moja ya taratibu walizojipangia. Wana-Instagram hao wanaoongozwa na mmiliki...

 

10 years ago

Michuzi

WAKALA WA TAIFA WA HIFADHI YA CHAKULA (NFRA) KANDA YA DODOMA INAKABILIWA NA UFINYU WA ENEO LA KUHIFADHIA MAZAO MSIMU HUU WA UNUNUZI WA MAZAO

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi ameitaka Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Kanda ya Dodoma kuhakikisha inatafuta suluhisho la haraka la changamoto ya maghala na mifumo ya kuhifadhia mazao inayoikabili taasisi hiyo wakati huu wa msimu wa kununua mazao.
Vilevile Dr. Nchimbi ameelekeza ukarabati wa Maghala ya hifadhi ya “National Milling” yaliyopo eneo la Makole ambayo uwezo wake ni kuhifadhi takribani tani elfu 10 kwa ghala uwekewe mkakati ili kusaidia kuleta suluhisho la...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Chumba cha wagonjwa mahututi ni nini na ni wagonjwa gani wanastahili kukitumia?

ICU ni wodi maalum inayotoa huduma kwa wagonjwa ambao wako katika hali mbaya na watafuatiliwa kwa karibu lakini chumba hiki kikoje?

 

5 years ago

BBCSwahili

Idadi ya wagonjwa wa corona nchini Kenya yafikia 1,214 baada ya kutangazwa wagonjwa wapya 22

Wagonjwa 10 wanatoka katika mji wa Nairobi, 9 wanatoka Mombasa, Kwale , Nakuru na Taita taveta kukiwa na mgonjwa mmojammoja.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mh. Amina Mwidau (CUF) afaraji wagonjwa na kukabidhi jengo la kupumzikia wagonjwa Hospitali ya wilaya ya Pangani

DSC00581

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya wilaya ya Pangani, Mugiri Emili (kushoto) akisisitiza jambo kwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF), Amina Mwidau wakati akipotembelea hospitali hiyo kuwafariji wagonjwa na kugawa zawadi mbalimbali ikiwemo sabuni, sukari ikiwemo mahitaji muhimu na kukabidhi jengo la kupumzikia wagonjwa alilolijenga kwa gharama za sh.milioni tano na mbunge huyo.(Picha na Mpiga Picha wetu,Pangani).

DSC00583

Mbunge wa  Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF) Amina Mwidau...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya wagonjwa Kenya yafikia 758, huku wagonjwa wengine 21 wakithibitishwa

Mipaka isiolindwa sasa imetajwa kuwa miongoni mwa maeneo hatari katika maambukizi ya virusi vya corona kulingana na naibu waziri wa Afya nchini Kenya Mercy Mwangangi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani