Wakala aasa umakini ununuzi gesi
WAKALA wa Vipimo (WMA) imewataka wananchi kuwa makini na matumizi ya mizani wakati wa kununua gesi kutoka kwa wauzaji wa reja reja.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania17 Aug
Wakala wa ununuzi wasaidia wagonjwa
ALLY BADI
WAKALA wa Ununuzi wa Serikali Mkoa wa Lindi, GPSA umekabidhi msaada wenye thamani ya Sh milioni moja kwa wagonjwa wa Hospitali ya Sokoine mkoani hapa.
Akizungumza baada ya kukabidhi msaada huo, Kaimu Meneja wa Wakala wa Ununuzi Mkoa wa Lindi, Mwakiselu Mwambange, alisema wametoa msaada wa kanga, sabauni za kuogea na kufulia kwa wagonjwa pamoja na makopo ya maziwa kwa ajili ya kusaidia wagonjwa.
Mwambange alisema kitendo hicho ni utamaduni wa wakala wa ununuzi kusaidia watu wenye...
10 years ago
MichuziWAKALA WA TAIFA WA HIFADHI YA CHAKULA (NFRA) KANDA YA DODOMA INAKABILIWA NA UFINYU WA ENEO LA KUHIFADHIA MAZAO MSIMU HUU WA UNUNUZI WA MAZAO
Vilevile Dr. Nchimbi ameelekeza ukarabati wa Maghala ya hifadhi ya “National Milling” yaliyopo eneo la Makole ambayo uwezo wake ni kuhifadhi takribani tani elfu 10 kwa ghala uwekewe mkakati ili kusaidia kuleta suluhisho la...
10 years ago
Habarileo07 Dec
Sumaye aasa vijana kulinda amani
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amewataka vijana kote nchini kuwa mstari wa mbele kulinda amani, usalama na utulivu wa nchi katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 na kukemea siasa za chuki kwani mfumo uliopo ni mfumo wa vyama vingi, hivyo kila mmoja anapaswa kumheshimu mwenzake.
9 years ago
Habarileo10 Sep
Aasa wafuasi kuheshimu mabango ya wapinzani wao
MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema-Zanzibar, Said Issa Mohammed amewaasa wafuasi wa chama hicho pamoja na wanachama wa vyama vingine vya NCCR-Mageuzi, CUF na NLD vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kutochana au kubandua picha za mabango ya wagombea wa vyama vingine.
10 years ago
Habarileo16 Jun
Acheni kukaa vijiweni, Lowassa aasa Watanzania
WATANZANIA wameshauriwa kufanya kazi kwa bidii ili kujiletea maendeleo badala ya kukaa vijiweni na kuwajadili watu, jambo ambalo haliwezi kuwapa tija yoyote.
10 years ago
Habarileo31 Dec
Askofu Mkude aasa viongozi kuwa waadilifu
WATUMISHI wa umma wa ngazi mbalimbali waliopewa dhamana ya kuwatumikia wananchi wameombwa kuzisoma na kusikiliza kwa umakini hotuba mbalimbali za Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ili ziwaweke kwenye msingi wa kuwa na maadili mema, uadilifu na uwazi.
9 years ago
Habarileo06 Jan
Mchungaji aasa jamii kutumia mtandao kwa maendeleo
MCHUNGAJI Hamza Kavenuke wa Kanisa la (EAGT) Kidete, Mufindi mkoani Iringa ametaka matumizi ya wastani ya mtandao ili kuleta maendeleo.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-mazezXANswQ/UzQ-U1aNjOI/AAAAAAAFWz8/n-0uSEeOMdc/s72-c/unnamed+(49).jpg)
balozi seif ali Iddi aasa wajumbe wa bunge la katiba
9 years ago
StarTV21 Aug
Usafirishaji gesi: Kisima namba 3 cha Gesi Msimbati Mtwara chafunguliwa
Matumaini ya kuanza kuzalishwa umeme unaotokana na gesi siku chache zijazo yameanza kudhihirika baada ya kisima namba 3 cha gesi kilichoko Msimbati wilayani Mtwara kufunguliwa.
Lengo ni kuruhusu gesi kusafiri kwenye bomba hadi Madimba kuwezesha hatua ya uchakataji kuanza.
Mkurugenzi mkuu wa shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania TPDC James Mataragio akifungua rasmi bomba hilo kutoka kisima No MB 3 katika kijiji cha Msimbati na kubainisha kuwa mradi huo umejengwa kwa muda mfupi sana...