Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Acheni kukaa vijiweni, Lowassa aasa Watanzania

Waziri Mkuu mstaafu, Edward LowassaWATANZANIA wameshauriwa kufanya kazi kwa bidii ili kujiletea maendeleo badala ya kukaa vijiweni na kuwajadili watu, jambo ambalo haliwezi kuwapa tija yoyote.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

DC apiga marufuku vijana kukaa vijiweni

MKUU wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, Chande Nalicho amepiga marufuku tabia ya baadhi ya watu hasa vijana kutumia muda mwingi kukaa vijiweni kuendekeza mambo ya kisiasa na kuacha kufanya kazi za kujiletea maendeleo.

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AWATAKA VIJANA WACHAPE KAZI NA SI KUKAA VIJIWENI.


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiswaga Ng'ombe kuingia kwenye josho katika kijiji cha Nyakwasi, Nyang'hwale mkoani Geita.Kinana aliwapongeza wana kikundi cha Songambele kwa kupambana na magonjwa ya mifugo kwa kujenga josho la kisasa,Pia Ndugu Kinana aliwaasa Vijana kufanya kazi kwa bidii n,a kuacha kukaa vijiweni kupiga sogakwani hakuna njia ya mkato ya maisha,badala yake ni kufanya kazi kwa bidii ikiwemo suala zima la kujiletea maendeleo kama vile kujishughulisha na...

 

11 years ago

Habarileo

'Watanzania acheni tamaa, ubinafsi'

WAZIRI Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye amewataka Watanzania kuachana nxa ubinafsi kwa kuridhika na walichonacho. Pia, ametaka Watanzania kujiepusha na tamaa ya kile kidogo walichonacho watu wasio na uwezo.

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Bilali: Watanzania acheni mitizamo hasi

Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amewataka Watanzania kuacha na mitizamo hasi juu ya sera ya uwekezaji vitega uchumi kwa kuwa ikitumika vizuri ndio chachu ya kujenga uchumi imara na endelevu.

 

10 years ago

Habarileo

‘Watanzania acheni woga, tendeni haki’

Waumini wa Kanisa la Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakitoka kanisani kuhudhuria ibada ya Sikukuu ya Krismasi iliyofanyika kitaifa kanisani hapo jana. (Picha na Fadhili Akida).VIONGOZI wa dini wamewataka Watanzania kutambua kuwa mwaka ujao wa 2015, ni mwaka uliojaa masuala mazito ya kitaifa, hivyo ni wajibu wao kushiriki kikamilifu, kuacha woga na kutenda haki.

 

10 years ago

Mwananchi

Watanzania acheni kushabikia mambo yasiyo na faida

Nianze kwa kuwapa salamu Watanzania wenzangu mliojaa uzalendo, mlio tayari kuhoji mambo ya msingi kwa mustakabali wa nchi yetu.

 

10 years ago

Vijimambo

Lowassa ni mbinafsi “Watanzania mnatakiwa kufahamu kuwa mnapokutana na Lowassa, Ninyi sio kitu bali kitu ni Lowassa,”


HAMFREY POLEPOLE AMGALAGAZA VIBAYA MCHUNGAJI MSIGWA KWENYE MDAHARO Hamfrey Polepole na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa wamekabana kwa hoja kali kuhusu uamuzi wa Chadema na Ukawa kwa ujumla kumpokea Edward Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea Urais.Polepole na Msigwa walikutana jana katika kipindi cha ‘Mada Moto’ kinachorushwa na kituo cha runinga cha Chanel Ten kujadili mada iliyotajwa kama ‘Lowassa Ndani ya CCM’.Polepole alionesha msimamo wake wa kumkataa Edward Lowassa kuwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Polisi acheni kupiga watu mabomu

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa ameeleza kusikitishwa na kitendo cha polisi kuwapiga mabomu wananchi wa Tanga waliokuwa wakitoka kwenye mkutano wake.

 

10 years ago

Michuzi

Viongozi acheni kuuza utajiri na kununua umasikini - Mh. Lowassa

 Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa amewanyooshea vidole viongozi wa kimila wa kabila la wamasai (malaigwanani),viongozi wa vijiji na wale wa CCM wilayani humo, kuwa wanalaumiwa kwa kushiriki katika uuzaji ardhi kinyume na sheria.
 Akifungua semina ya siku mbili ya juu ya maswala ya ardhi kwenye ukumbi wa hoteli ya Emanyata mjini Monduli,Mh. Lowassa amesema  shutuma hizo zimekuwa nyingi kwa viongozi hao kwa kuuza utajiri (ardhi) na kununua umasikini.
"Walikuja pale...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani