Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wawata Dar wasaidia wagonjwa mil 9.5/-

WANAWAKE Wakatoliki Tanzania (WAWATA), Jimbo Kuu la Dar es Salaam, wametoa Sh milioni 9.5 kwa ajili ya kusaidia Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na Taasisi ya Saratani ya Ocean road.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Wakala wa ununuzi wasaidia wagonjwa

ALLY BADI

WAKALA wa Ununuzi wa Serikali Mkoa wa Lindi, GPSA umekabidhi msaada wenye thamani ya Sh milioni moja kwa wagonjwa wa Hospitali ya Sokoine mkoani hapa.

Akizungumza baada ya kukabidhi msaada huo, Kaimu Meneja wa Wakala wa Ununuzi Mkoa wa Lindi, Mwakiselu Mwambange, alisema wametoa msaada wa kanga, sabauni za kuogea na kufulia kwa wagonjwa pamoja na makopo ya maziwa kwa ajili ya kusaidia wagonjwa.

Mwambange alisema kitendo hicho ni utamaduni wa wakala wa ununuzi kusaidia watu wenye...

 

9 years ago

GPL

WATUMIAJI INSTAGRAM WASAIDIA WAGONJWA OCEAN ROAD

Mmiliki wa Twaiba Classic Centre akitoa michango kwa baadhi ya wagonjwa.
Wana-Instagram wakiwa katika picha ya pamoja nje ya Hospitali ya Ocean Road. KIKUNDI cha watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Instagram jijini Dar wanaounda umoja wa kusaidia wagonjwa katika hospitali kubwa jijini, wametoa msaada kwa wagonjwa katika Hospitali ya Ocean Road ikiwa ni moja ya taratibu walizojipangia. Wana-Instagram hao wanaoongozwa na mmiliki...

 

9 years ago

Michuzi

UJASIRI WA WANASHERIA WASAIDIA KUPUNGUZA VITENDO VYA UKATILI WA JINSIA SOKO LA TABATA MUSLIM JIJINI DAR ES SALAAM

 Katibu wa soko la Tabata Muslim lililopo Manispaa ya Ilala, John Nombo (kushoto),  akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu kupungua kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia katika soko hilo baada ya Shirika la Equality for Growth (EfG), kutoa mafunzo ya kupinga ukatili huo katika masoko sita ya Manispaa hiyo. Kulia ni Mwezeshaji wa Sheria wa Soko hilo, Aisha Juma na  Saada Ngunde. Mwezeshaji wa Sheria katika soko hilo, Saada Ngande akizungumza...

 

9 years ago

Bongo Movies

Picha: Fashion Show ya Kwanza ya Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) Jinsi ya Kuvaa Kanisani

Kwa mara ya kwanza mbunifu mkubwa wa mavazi, Mustafa Hassanali akiwa na mwanamtindo maarufu hapa Bongo, Jokate Mwegelo siku ya jana waliandaa onyesho la mavazi ya kanisani kwa wakinamama yaliyofanyika kwenye ukumbi wa kardinali Rugambwa jijini Dar es salaam, ambapo Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ndiyo alikuwa mgeni rasmi wa onyesho hilo.

Hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo.

KIJOTE34

jokate13

 

JOKATE23

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA DODOMA DR REHEMA NCHIMBI AMEFUNGUA JENGO LA HUDUMA KWA WAGONJWA WA NJE (O.P.D) KWENYE KITUO CHA AFYA LUMUMA MPWAPWA LENYE THAMANI YA MIL.350

 Hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la huduma kwa wagonjwa wa nje OPD kwenye kituo cha afya cha lumuma Mpwapwa iliyofanyika mwishoni mwa wiki ilitanguliwa na ibada takatifu iliyoongozwa na makamu wa askofu kanisa katoliki dodoma padiri Chesco Msaga (wa pili kulia) kituo hiko cha afya kinamilikiwa na kanisa hilo kupitia shirika lake la watawa la Mt. Gema. Mkuu wa Mkoa Dodoma Dr Rehema Nchimbi akiwa amembeba mtoto aliyepewa jina la Rehema na mama yake kama ishara ya kumuenzi mkuu huyo wa Mkoa...

 

5 years ago

Michuzi

DAR YABAKI NA WAGONJWA WAWILI WA CORONA


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV

WAZIRI wa afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema kuwa hadi sasa Mkoa wa Dar es Salaam umesalia na wagonjwa wawili pekee wa virusi vya Corona (COVID-19) waliopo katika hospitali za umma na binafsi na kueleza kuwa hali hiyo imepelekea kurejeshwa kwa huduma katika hospitali ya Amana pamoja na kituo cha Mloganzila.

Akizungumza leo jijini Dar  es Salaam wakati akifungua kituo cha kitaifa cha Afya Mtandao cha Wizara ya Afya kilichopo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Chumba cha wagonjwa mahututi ni nini na ni wagonjwa gani wanastahili kukitumia?

ICU ni wodi maalum inayotoa huduma kwa wagonjwa ambao wako katika hali mbaya na watafuatiliwa kwa karibu lakini chumba hiki kikoje?

 

9 years ago

Vijimambo

Kipindupindu Dar chaua 10, wagonjwa sasa wafikia 65

Jumla ya watu 10 hadi kufikia jana walikuwa wameshapoteza maisha kutokana ugonjwa wa kipindupindu jijini Dar es Salaam huku 93 wakiwa wamelazwa kwenye kambi zilizotengewa kwa ajili ya walioathirika na ugonjwa huo.

Nipashe ilitembelea katika Kambi ya Mburahati wilayani Kinondoni jana na kushuhudia madaktari na wauguzi wakiendelea kutoa matibabu.

Akizungumza na gazeti hili msimamizi wa kambi hiyo, ambaye pia ni Mratibu wa Mafunzo Idara ya Afya Wilaya ya Kinondoni, Alfred Ngowi, alisema hadi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani