NISHA AWACHEZEA WANAFUNZI POSTA

Stori: Shani Ramadhani MWANADADA anayefanya poa katika tasnia ya filamu za Kibongo Salma Jabu ‘Nisha’ hivi karibuni alilazimika kuwachezea wanafunzi waliomtaka kufanya hivyo wakati wao wakimuimbia katika maeneo ya Posta, jijini Dar es Salaam. Mwanadada anayefanya poa katika tasnia ya filamu za Kibongo Salma Jabu ‘Nisha’. Akizungumza na gazeti hili, Nisha alisema aliteremka kwenye gari kwa ajili ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
WANAFUNZI WA SJMC UDSM WAPATA NAFASI YA KUONESHA VIPAJI VYAO VIWANJA VYA POSTA, KIJITONYAMA
10 years ago
Dewji Blog10 Oct
Posta waadhimisha Siku ya Posta Duniani jijini Dar es Salaam
Wafanyakazi na wadau wa Shirika la Posta nchini (TPC), wa ndani na nje ya nchi wakiwa katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani kwenye jengo la Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), jijini Dar es Salaam jana. Maadhimisho hayo, huadhimishwa duniani kote Oktoba 9. (Picha zote na Kassim Mbarouk- www.bayana.blogspot.com)
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Elia Madulesi (kulia), akiteta jambo na mmoja wa Maofisa wa shirika hilo, wakati...
5 years ago
Michuzi
ASILIMIA 90 YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WAREJEA SHULENI, HAKUNA MAAMBUKIZI YA CORONA KWA WANAFUNZI

NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Gerald Mweli amesema asilimia 90 ya wanafunzi wa kidato cha sita wameripoti shuleni katika halmashauri zote nchini.
Mweli amesema mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kuwapo kwa maambuziki ya ugonjwa wa Corona kwa wanafunzi wa kidato cha sita walioripoti shuleni.
Akitoa tathimini ya uripotiji wa...
10 years ago
Michuzi02 Nov
HAFLA YA JUMUIYA YA WANAFUNZI WA TANZANIA WUHAN-CHINA (WUTASA) KUWAKARIBISHA WANAFUNZI WAPYA MWAKA WA MASOMO 2015/16



11 years ago
GPL
NISHA: SIJAFULIA JAMANI
10 years ago
GPL
NISHA AHOFIA UZEE
10 years ago
GPL
NISHA ASUSIWA BETHIDEI
10 years ago
GPL
NISHA AMWANIKA MWANAYE
11 years ago
GPL
NISHA AKIMBIZWA MITAANI
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10