NISHA AMWANIKA MWANAYE

Stori: Gladness Mallya MASTAA wana mambo! Baada ya kukataa kwa muda mrefu kwamba hajawahi kuzaa, msanii wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amemwanika mwanaye anayejulikana kwa jina la Iptysam Othman ‘Angel’ mwenye umri wa miaka 10. Msanii wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha akiwa na mwanae. “Mimi ni mama bora, ndiyo maana nimekuwa nikiulizwa na vyombo mbalimbali vya habari kama nina...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
SHIJA AMWANIKA MWANAYE
11 years ago
GPL
LINAH AMWANIKA MWANAUME WAKE
10 years ago
GPL
Y-TONY AMWANIKA DEMU WAKE
10 years ago
GPL
JOHARI AMWANIKA MWANAUME AMTAKAYE
11 years ago
GPL
NAY WA MITEGO AMWANIKA MTOTO WA SKAINA!
11 years ago
GPL
SNURA AMWANIKA BABA WA MTOTO WAKE
11 years ago
GPL
MISS TANZANIA AMWANIKA MCHUMBA WAKE!
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Jini kabula amwanika wa ubani wake
Msanii wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’.
NA gladness mallya
MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ hivi karibuni alimwanika mpenzi wake kwenye mtandao wa kijamii wa WhatsApp na kuambatanisha na maneno ya kimahaba.
Jini Kabula aliweka picha ya mpenzi wake huyo ambaye hakutaka kumtaja jina huku akiambatanisha na maneno ya kimahaba na alipoulizwa kuhusu suala la ndoa alisema halipo bali ni marafiki tu.
“Huyu ni rafiki yangu sana na niliweka picha tukiwa pamoja kwenye...
10 years ago
Dewji Blog20 Sep
News On!: Msanii Diamond Platnumz amwanika mwanae Tiffah, NMB wasimamia shoo
“Huyu Ndio Binti yangu…Latiffah Binti Nasibu Abdul almaaruf kama @Princess_tiffah… Kila mmoja wetu anaweza kumfungulia mwanae NMB Junio Accont na kumuifadhia fedha kwa ajili ya masomo na mahitaji yake ya baadae.
Furahi usalama wa fedha zako na riba ya kuvutia! Wapigie 080011223 kwa maelezo zaidi ama tembelea tawi lolote la NMB lililo karibu yako. Follow @nmbtanzania na Facebook page ya NMB Tanzania #NMBJUNIORACCOUNT” aliweka Diamond kwenye kurasa wake kijamii wa Instagram.
Hii inafuatia...