SHIJA AMWANIKA MWANAYE
![](http://api.ning.com:80/files/FkLMylrJqnXLtJTOmalPLI1tDSkPwg7WqHmcV7cjCxeQfaMJkGjVH2uWul1n1VYRhPKJQhjT5F2hIjYplOZgEYND38HfidlG/IMG20150120WA0000.jpg)
Msanii wa filamu Bongo, Deogratius Shija akiwa na mwanaye, Theresia Shija (14). Stori: Gladness Mallya/Ijumaa Wikienda KWA mara ya kwanza msanii wa filamu Bongo, Deogratius Shija amemwanika mwanaye na kudai ndiye faraja kwake kila anapomuona. Shija alisema mwanaye aliyemtaja kwa jina la Theresia Shija (14), amekuwa ni faraja kubwa katika maisha yake na kila anapomwangalia anapata nguvu ya kufanya kazi. “Ukweli nimekuza,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/PhpRQMoFW8YVGahOV*lByDD6tx4cYOriEst7IDSwLqRTDym1n*zFNM6wQuFi1AzkiDWYBOcl*dXm4ChR3T7ypnRUhKfOlrXb/nisha.jpg)
NISHA AMWANIKA MWANAYE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sTg6vyO*vvFJNhjXkHfuQe8X7blfl6KXYcFwZuQqhw0QjaqNZKL6W7XmtEctPzSPJNd-yq0BZkXqgK-2JktloneXq0ZrDcU3/linah.jpg?width=650)
LINAH AMWANIKA MWANAUME WAKE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vM7iDEJ0Tmn-4klhF4Xg*9JI3dYBTRavJt93SRsOMMXgCCtryJv3BtTQbcQjiwuaRa0RwLospKBQ9wv2ybsaf5Jorg0q7rFX/yton.jpg?width=650)
Y-TONY AMWANIKA DEMU WAKE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/gDF3S0THO9zjDlLXjv8v4wrupAY8RbFGfgWp0Ws7lPRL6sFY19JaKQhQgNLaNir2C1uf2EUF3DsUucPiYAOCh2UUR0dCYB4l/johari.jpg)
JOHARI AMWANIKA MWANAUME AMTAKAYE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj21Akal30yzh4YKEVchrJ8Ut7O8jxn4A5N5ePBSC3pXz7IK4SmcWgerFU0gzw1GoGG38Mra6vXLLWK03aID9kOi/SNURA.gif?width=650)
SNURA AMWANIKA BABA WA MTOTO WAKE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tlB4pKQX5mjHLT44XdvMQ95jt2HktB*jPu*KBj2STbuds8gFusilpOZ388Da8LuBf79vRsS1yKDBbcvXxvgJ8If*y78m0jdR/nay.jpg)
NAY WA MITEGO AMWANIKA MTOTO WA SKAINA!
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Jini kabula amwanika wa ubani wake
Msanii wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’.
NA gladness mallya
MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ hivi karibuni alimwanika mpenzi wake kwenye mtandao wa kijamii wa WhatsApp na kuambatanisha na maneno ya kimahaba.
Jini Kabula aliweka picha ya mpenzi wake huyo ambaye hakutaka kumtaja jina huku akiambatanisha na maneno ya kimahaba na alipoulizwa kuhusu suala la ndoa alisema halipo bali ni marafiki tu.
“Huyu ni rafiki yangu sana na niliweka picha tukiwa pamoja kwenye...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aX2yEHaS8JneXU7BcIoBVL4k-YRIzag--OORopszfs-aIh6UueBHGSvzajSFynE1MX05Q74zeh*zp-5f5D7CjAovJRliOrid/miss.jpg?width=650)
MISS TANZANIA AMWANIKA MCHUMBA WAKE!
9 years ago
Dewji Blog20 Sep
News On!: Msanii Diamond Platnumz amwanika mwanae Tiffah, NMB wasimamia shoo
“Huyu Ndio Binti yangu…Latiffah Binti Nasibu Abdul almaaruf kama @Princess_tiffah… Kila mmoja wetu anaweza kumfungulia mwanae NMB Junio Accont na kumuifadhia fedha kwa ajili ya masomo na mahitaji yake ya baadae.
Furahi usalama wa fedha zako na riba ya kuvutia! Wapigie 080011223 kwa maelezo zaidi ama tembelea tawi lolote la NMB lililo karibu yako. Follow @nmbtanzania na Facebook page ya NMB Tanzania #NMBJUNIORACCOUNT” aliweka Diamond kwenye kurasa wake kijamii wa Instagram.
Hii inafuatia...